RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa  Mei 07 anatarajiwa kufanya mkutano na zaidi ya Wazee 900 wa Mkoa wa Dar es salaam ambapo Katika kikao hicho watajadili mambo mbalimbali.

Akitoa taarifa ya Mkutano huo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amesema kikao  icho kitafanyika Ukumbi wa Mikutano Mlimani city kuanzia saa 8 Mchana.

Aidha RC Kunenge ametoa wito kwa Wazee waliopata mialiko ya kushiriki kikaoh icho kujitokeza kwa wingi ili wapate kusikiliza kile ambacho Rais Mhe. Samia amewaitia.

Kwa upande wao Viongozi wa Wazee wamemshukuru Mhe. Rais Samia kwa kuona umuhimu wa kukutana na Wazee huku wakisema wanatarajia Kikao hicho kitakuwa na Manufaa makubwa kwao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...