Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mwendelezo wa ziara za kufutarisha Zanzibar, leo tarehe  5 Mei 2021 amefutarisha Mkoa wa Kusini katika viwanja vya Tibirizi akiwa na Mke wake Mama Mariam Mwinyi Pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Mhe. Mattar Zahro Masoud.

Rais Mwinyi alisema “Niwashukuru nyote mliopokea mwaliko wangu na kujumuika na mimi, pia lengo na madhumuni ni kujumuika na wananchi hususan wenye mahitaji maalum” (Picha na Ikulu Zanzibar)













 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...