Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano (UTT AMIS), Daudi Mbaga akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wapya wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS juu ya Uwekezaji wa Pamoja mkoani Morogoro.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wakisikiliza mada iliyokuwa ikitolewa juu ya Uwekezaji wa Pamoja mkoani Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...