Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji  alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji  alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango  alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji  alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.  Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi. (Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...