Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya ambaye ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Gervas Nyaisonga mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu (TEC) Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 25 Juni, 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Jude Thaddeus Ruwa’ichi mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 25 Juni, 2021. Katikati ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mbeya ambaye pia ni Rais wa TEC Askofu Gervas Nyaisonga na wakwanza kulia ni Askofu Augustine Shao kutoka Jimbo Katoliki Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC katika ukumbi wa AMECEA Kurasini mkoani Dar es Salaam leo 25 Juni, 2021.



Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Makao Makuu ya Baraza hilo Kurasini mkoani Dar es Salaam.

Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini wakiwa wamesimama kushukuru mara baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Makao Makuu ya TEC Kurasini Mkoani Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mbeya ambaye pia ni Rais wa TEC Askofu Gervas Nyaisonga mara baada ya kupiga picha za kumbukumbu na Maaskofu wa TEC Kurasini mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...