Kupitia vyombo vya habari jana usiku, Madereva wa Malori waliopo Tunduma, dhidi ya mwajiri wao kampuni ya Evarist Freight Ltd, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu mwenye dhamana ya Kazi na Ajira Nchini,anafuatilia suala hilo na leo atatoa ufafanuzi .
NUKUU "Kupitia
vyombo vya habari jana, nimesikia malalamiko ya madereva wa malori
waliopo Tunduma, dhidi ya mwajiri wao Kampuni ya Evarist Freight Ltd,
nafuatilia na leo nitatoa Ufafanuzi. "
Mhe. JENISTA MHAGAMAWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...