Taarifa iliyotufikia hivi punde kutoka vyanzo vya kuaminika, inaeleza kuwa Kiongozi wa Bendi kongwe ya muziki wa Dansi 'The Kilimanjaro Band' maarufu kwa jina la Wana Njenje, Waziri Ally amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Mwanayamala, jijini Dar es salaam, alikokimbizwa kupatia matibabu mara baada ya kuzidiwa usiku huu. Tutaendelea kupeana taarifa zaidi kila zitakavyokuwa zikitufikia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...