Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Gen. Richard Mutayoba Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda, katika Hafla iliyofanyika leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Masoud A Balozi,  kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje, Zanzibar, katika Hafla iliyofanyika leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Swahiba Habibu Mndeme, kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Ulaya na Amerika, katika Hafla iliyofanyika leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Maulidah Bwanakheir Hassan, kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu, katika Hafla iliyofanyika leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Mabalozi wateule leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu mara baada ya kuwaapisha Mabalozi hao leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wateule mara baada ya kuwaapisha Mabalozi hao leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...