Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, wakati wa Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Kagame Mjini Kigali Rwanda kwa ajili yake Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia yupo Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitambu cha kumbukumbu alipotembelea Makumbusho ya Hifadhi ya Kimbari Kigali Nchini Rwanda Agosti 02,2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi na Wananchi wa Rwanda, kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa kwa ajili yake na Rais Kagame Mjini Kigali Rwanda leo Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia yupo Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...