RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng , wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma ya Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Visiwa vya Unguja na Pemba Kiongozi wa Madaktari Bingwa wa Benchi la 30 kutoka China Dr.Wang Yiming , baada kumaliza muda wao wa mwaka mmkoja kutokwa huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MADAKTARI Bingwa kutoka Nchini China waliokuwa wakitoa huduma ya Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar na Abdalla Mzee Mkoani Pemba waliomaliza muda wao wa mwaka wa kutowa huduma za Afya kwa Wananchi wa Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

BALOZI Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe Zhang Zhisheng wa (kwanza) na (kulia kwake) Kiongozi wa Madaktari Bingwa Dr. Wang Yiming wakiwa na baadhi ya Madaktari Bingwa waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar katika kutoa huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika hafla ya kuwaaga iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa benchi ya 30 kutoka Nchini China waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo ya kuwaaga imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, wa kwanza Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng.Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Kichina Benchi la 30 kutoka Nchini China waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja kutoa huduma ya Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaaga iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuagwa kwa Madaktari Bingwa kutoka Nchini China, waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoa huduma za afya Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Fatma Mrisho, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa Kutoka China benchi ya 30, waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)





BAADHI NA Viongozi wa Wizara ya Afya na Madaktari wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja katika kutowa huduma za Afya Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...