Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Togolani Edriss Mavura kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mathew Modest Kilama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021.
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Mathew Modest Kilama akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini Togolani Edriss Mavura wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021. PICHA NA IKULU


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...