RAIS  wa  Zanzibar  na  Mwenyekiti  wa  Baraza  la  Mapinduzi  Mhe. Dk. Hussein  Ali  Mwinyi akizungumza  na  Balozi  wa  Marekani  Nchini Tanzania Mhe.Donald Wright (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 17-9-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akifuatana na mgeni wake Balozi wa Marekani  Nchini Tanzania  Mhe. Donald  Wright ,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 17-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein  Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald Wright , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akibadilishana  mawazo  na  mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe Donald Wright, wakiwa nje ya ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 17-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald Wright , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...