Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia wa Benki ya Stanbic, Mussa Ally akikabidhi mitungi 7 ya oksijeni yenye thamani ya TZS milioni 4.5 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Robert Gabriel kwaajili ya Hospitali ya Bugando jijini Mwanza, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni. Mchango huo ni moja ya mkakati wa benki ya Stanbic kusaidia sekta ya Afya nchini.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...