Atletico Madrid watawaalika Liverpool katika
dimba la Wanda Metropolitano jumanne
hii. Mabingwa watetezi wa LaLiga vs timu iliyo kwenye ubora wake ndani ya EPL
msimu huu. Huku Mo Salah, kule Luis Suarez, hataposhi! Mdhamini shujaa
wako kwenye mchezo huu wa Ligi ya Mabingwa ukiwa na Meridianbet. Ifuate Odds ya 2.25 kwa Liverpool.
Burudani ya wapenzi wa mchezo wa
kikapu itadhihirika usiku wa kuamkia Jumatano! Ni NBA 2021/22 ndani ya viwanja mbalimbali. Msimu mpya wa NBA
utakatwa utepe kwa michezo miwili ya kukata na shoka. Mabingwa watetezi wa NBA
– Milwaukee Bucks kuanza safari ya kutetea
ubingwa dhidi ya Brooklyn Nets. Nets ikiwa inamkosa Kyrie Irving, inakwenda kuchuana na Giannis Antentokoumpo wa Bucks. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.81 kwa Bucks.
Pale Staple Centre, LA Lakers kuwaalika wapinzani wao wa muda
mrefu – Golden State Warriors. Ni LeBron James vs Stephen Curry, huu upinzani umeendelea kuwa mkubwa
kila msimu. 2021/22 nani ataanza kwa kuwa kinara wa mwingine? Upinzani wa kikapu katika ubora wake, ifuate
Odds ya 1.52 kwa Lakers jumanne hii.
Jumatano hii, Manchester United watawakaribisha Atalanta katika
muendelezo wa mashindano ya Uefa.
United anarejea Old Trafford akiwa
ametoka kupoteza mchezo kwa kipigo kikubwa dhidi ya Leicester City. Atalanta
anasafiri mpaka Uingereza akiwa ametoka kushinda mchezo wa mwisho kwenye Serie
A. Nani ni nani, baada ya dakika 90? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.76 kwa
United.
Baada ya kuwagaraza Inter Milan, Lazio kuwaalika Olympique Marseille katika
muendelezo wa Ligi ya Europa
Alhamisi hii. Shujaa wako atakuwa nani pale Stadio
Olimpico? Hii hapa Odds ya 1.82 kwa Lazio. Hii ndio nyumba ya ushindi, Meridianbet!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...