Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Lindi alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea kwa ziara ya kikazi mkoani humo, Oktoba 24, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainabu Telack alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea kwa ziara ya kikazi mkoani humo.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizingumza na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Mkalla (kulia) na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Hassan Abbas Rugwa (katikati) kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kabla ya kuondoka kwenda mkoani Lindi kwa ziara ya kikazi,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...