*Epl, Serie A na LaLiga Nako Mambo ni Moto! Meridianbet Tuko Pamoja Nawe!

AFCON, EPL, Serie A na LaLiga kukutoa burudani wikiendi hii. Jamvi lako la uhakika lipo kwenye Nyumba ya Mabingwa. Meridianbet mambo yapo hivi;

 

Manchester United watawaalika West Ham United katika mchezo wa 23 kwenye EPL. Timu hizi zinatofauti ya pointi 2 tu kati yao. Pointi 3 ni muhimu kwa wote katika safari ya kuingia kwenye nafasi 4 za juu. Ni Ralf Rangnick au David Moyes atakayefanikiwa kutusua ndani ya dakika 90? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.91.

 

Kwenye LaLiga SentanderAtletico Madrid watachuana na Valencia. Wandametropolitano itaunguruma kwa dakika 90. Bila kupepesa macho, ushindi ndio kitu cha muhimu kwa yeyote kati yao. Ifuate Odds ya 1.47 kwa Atletico kupitia Meridianbet.

 

Jumapili hii itapigwa London Derby kule Uingereza. Chelsea watawaalika Tottenham Hot Spurs pale Stamford Bridge. Spurs ya Conte haijapoteza mchezo wowote kwenye EPL mpaka sasa, The Blues nao hali si shwari. Wametoka kusuluhu na Brighton huku Spurs wakipindua meza na kuwashinda Leicester 3-2. Derby ya nguvu wikiendi hii. Weka nguvu zao kwenye Odds ya 1.67 kwa Chelsea ukiwa na Meridianbet.

 

Serie A itasimamia burudani ya soka la wakubwa, AC Milan vs Juventus. Tofauti ya pointi 7 kati yao, inawaeka Milan kwenye nafasi ya 2 na Juve kwenye nafasi ya 5 kunako msimamo wa Serie A. Safari ni ndefu, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.65 kwa Juve.

 

Hatua ya 16 bora kwenye AFCON imeanza rasmi. Jumatatu hii ni Cameroon vs Comoros. Soka la kiafrika katika ubora wake. Nani anasonga mbele na nani anayaaga mashindano? Odds ya 1.67 ipo kwa Cameroon.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...