RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi wa Serikali baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Mkoani Dodoma katika hafla ya Ufunguzi wa Wiki ya Sheria Tanzania uliofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma leo 23-1-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika Uwanja wa Ndege Mkoani Dodoma wakielekea kupanda Ndege kurejea Zanzibar baada ya kumaliza kufunguzi wa Wiki ya Sheria Tanzania katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma leo 23-1-2022 na kuongoza Matembezi ya Wiki ya Sheria.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiwasalimia na kuagana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Mkoani Dodoma katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akielekea Zanzibar,baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Wiki ya Sheria Tanzania uliofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...