KUNA mambo mbalimbali yanayotokea kwenye familia nyingi yamekuwa yakisababisha furaha na maelewano au kinyume chake kwa maana ya kukosa maeleno.

Veronica Mteme anayeishi mkoani Mwanza anaeleza ambavyo familia yake ilivyoingia kwenye kutoelewana kwasababu tu watoto waje wawili hawakuwa wakifanya vizuri shuleni, kutofaulu kwa watoto ikimfanya yeye na mumewe kutokuwa na maelewano,kisa ufaulu wa watoto wao.

Anasimulia kwamba yeye na mumewe wamebahatika kupata watoto wawili waliowapa majina ya Marry mwenye 12 na Joseph mwenye miaka 15."Walikuwa wachangamfu toka wakiwa wadogo sana na kwa imani yangu ilikuwa siku ambayo nitawaanzisha shule watakua na uwezo wa kuelewa masomo yao ili siku moja wafanikiwe na kuwa na maisha mazuri hapo badae.

"Ni furaha ya kila mzazi kuona watoto wake wanafaulu katika masomo yao  na kujiiendeleza maishani mwao bila matatizo yoyote, yote hayo yalionekana kutokutimia katika maisha ya wanangu.Kwasababu nakumbuka siku ya kwanza nawaanzisha chekechea walikua wachangamfu na walionyesha kukubaliana na mazingira ya shule huku mwalimu wao wa darasa akiniahidi kuwasaidia ili watimize kile kilichowaleta pale shuleni.

"Sio mwalimu tu bali hata  mimi na mume wangu tukiwa kama wazazi tulijitahidi chini juu kuhakikisha kuwa tunawalipia ada watoto wetu ili hata kwa wakati mmoja wasikose masomo yao kwa ukosefu wa ada.Siku zilienda na waliweza kumaliza elimu yao ya chekechea na kuanza elimu ya msingi,"anaeleza.

Wakiwa shuleni matokeo yao yalikua mazuri katika muhula wa kwanza na yaliwafurahisha yeye na mumewe.Hata hivyo Muhula wa pili uliwashtua sana kwasababu matokeo yalikuwa mabaya kiasi kwamba aliamua  kwenda shuleni kwao kufatilia ni kitu gani kilichopelekea mabadiliko ya matokeo ya watoto wangu.

"Nilipata muda wa mazungumzo na mwalimu wa darasa lao ambapo yeye pia hakuelewa chanzo cha matokeo mabaya ambayo yamewakumba watoto wangu, alichoniambia ni kwamba hata darasani wamekuwa wakishindwa kuelewa masomo.Ila mwishoni alinambia atajitahidi kwa uwezo wake kuhakikisha wanarudi katika hali yao ya kawaida na kufaulu masomo yao kama ilivyokuwa hapo mwanzo, nilirejea nyumbani na kumueleza kila kitu mume wangu.

"Licha ya hayo yote bado mume wangu aliona kama mimi ndio nilikuwa kikwazo kikubwa katika ufanisi wa watoto wetu masomoni. Mwisho wa muhula ulipofika ilikuwa ni vita hapa na pale kwani mume wangu hakutaka kunielewa.Nilimshauri kila mara tujaribu tuwezavyo kuwasaidia watoto wetu lakini alikataa na kunikashifu.Furaha ikatoweka na tukawa hatuna maelewano,"anasema.

Veronica anasema mwisho wa mwaka ulipofika ilikuwa ni wakati wao kuenda katika darasa lingine lakini hili halikufanyika kamwe kwa sababu walimu wao walisema kwamba hawakuwa na uwezo huo kwa sababu hawakuwa wamefikisha pointi zilizohitajika ili kufuzu kwenda katika madarasa yale.

Anaaema mumewe  aliposikia yale alimfokea kweli na kwambia kwamba alijifungua watoto mazuzu maneno yaliyomuumiza sana moyo wake."Nilimwambia mume wangu sio vema kuwaita watoto wetu ambao ni damu yetu asili mazuzu. Akawa anaendelea kuwaita vile jambo lilinipelekea kuchukua hatua na kuanza vita naye."

Katika harakati za kuwahamisha shule ile waliyokuwa wanasoma mwanzo, siku moja akakutana na rafiki yake  aitwae Kibena na kumweleza anaelekea kutafuta shule ya kuwapeleka wanawe kwani wamekua wakifeli kila kukicha.

"Rafiki yangu  aliniambia kuwa palikuwa na daktari wa mitishamba aliyeitwa Kiwanga ambaye alikuwa na uwezo wa kusuluhisha mzozo baina yangu na mume wangu. Daktari yule alipataikana mjini Nakuru kwa hivyo nilifunga safari na kufika katika ofisi zake mjini Nakuru tayari kwa usaidizi wake.

"Nilimweleza yote ambayo mimi hukumbana nayo kwenye ndoa ile na hapo akanipa hakikisho kwamba hilo lilikuwa ni jambo dogo sana kwake. Alinipa mafuta ambayo alinishauri niyamimine kwenye vitabu vya watoto wangu. Nilirejea nyumbani na kufanya vile. Baada ya siku tatu tulirudiana na mume wangu ambapo aliomba msamaha kwa yale yalikuwa yamejiri.

"Watoto wetu waliporejea shuleni matunda ya daktari Kiwanga yalikuwa yameanza kuonekana kwani kifungua mimba alikuwa nambari moja katika mtihani wa mwisho wa muhula. Dada yake naye hakuwachwa nyuma kwani alipokea zawadi nyingi kwa vile alikuwa ameibuka kuwa bingwa katika masomo tofauti darasani mwao. Mume wangu hakuamini haya.

"Baadae  watoto wetu walifanikiwa maishani kifungua mimba ni daktari huku kifunga mimba ni mwanahabari maarufu nchini. Daktari Kiwanga ana uwezo wa kumaliza majini, kumaliza msongo wa mawazo yanayokusumbua na mambo mengine yanayoonekana kuwa kikwazo katika maisha yako. 

"Anatibu magonjwa kama vile kifafa, kifua kikuu na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965."




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...