Inter
Millan watakua San Siro wakichuana na Sampdoria.
Ni tofautui ya alama 1 kati yao na majirani zao, AC Milan. Pointi 3 ni muhimu
kwa timu zote, Inter watafanikiwa kutetea ubingwa wa Serie A au Sampdoria
wataharibu shughuli? Ifuate
Odds ya 1.13 kwa Inter. Upande wa pili wa shilingi, Sassuolo
watawakabili AC Millan ambao wanaongoza msimamo wa Serie A
mpaka sasa. Sassuolo wamekuwa kikwazo kwa vigogo wa Italia msimu huu,
hawafungiki kirahisi. Stephano Pioli atafanikiwa kubeba taji ambalo walilikosa
msimu ulioisha? Odds
ya 1.44 ipo kwa Millan.
Kunako EPL, sasa
hivi sio tofauti ya magoli tena, ni pointi 1 pekee kati ya Man City na
Liverpool. Jumapili hii tutaamua nani bingwa wa EPL – ni Pep Guardiola au
Jurgen Klopp? Wakati City
akichuana na Aston Villa kule Etihad, Liverpool
atakua Anfield akiwakabili Wolves. Michezo yote
itachezwa mda mmoja na, kombe la EPL litakuwepo kwenye viwanja vyote viwili. Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 1.16 kwa City na, 1.14 kwa Liverpool.
Yote kwa yote, Manchester
United wanakibarua dhidi ya Crystal Palace.
Huu ni mchezo ambao utaamua ni mashindano yapi United itashiriki msimu ujao –
ni Europa League au Conference League? Hakika, pointi 3 ni muhimu kwa United
kule Selhurst Park. Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 2.25 kwa United.
Wakati ukiwa unaendelea kumsubiri bingwa wa EPL na Serie A, kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, ingia kwenye bonanza maalumu la Aviator wikiendi hii. Safari ya ndege inayoambatana na mvua ya bashiri za bure zenye thamani ya shilingi 1,000 ambazo, zinaweza kukupa fursa ya kutengeneza faida kubwa! Ndio, Aviator Bonanza, ni Habari ya mjini!! Bofya hapa kuingia mchezoni.
Bashiri
Kistaarabu. Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...