Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga Kikao cha Sita cha Kamati ya Uendeshaji (Project Steering Committee) ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo IKolojia Vijijini (Ecosystem Based Adaptation for Rural Resilience - EBARR in Tanzania) ambacho pamoja na mambo mengine kimepitia Taarifa ya Utekelezaji wa Mradi kwa Mwaka 2021/2022 na Mapendekezo ya Bajeti na Mpango kazi kwa mwaka 2022/2023. Kikao hicho kimefanyika leo Mei 24, 2022 jijini Dodoma.

Kikao cha Sita cha Kamati ya Uendeshaji (Project Steering Committee) ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo IKolojia Vijijini (Ecosystem Based Adaptation for Rural Resilience - EBARR in Tanzania) kikiendelea ambapo pamoja na mambo mengine kimepitia Taarifa ya Utekelezaji wa Mradi kwa Mwaka 2021/2022 na Mapendekezo ya Bajeti na Mpango kazi kwa mwaka 2022/2023 kilichofanyika leo Mei 24, 2022 jijini Dodoma.
Mratibu wa Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo IKolojia Vijijini (Ecosystem Based Adaptation for Rural Resilience - EBARR in Tanzania) Dkt. Makuru Nyarobi akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Sita cha Kamati ya Uendeshaji (Project Steering Committee) ya mradi huo kilichofanyika leo Mei 24, 2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kikao cha Sita cha Kamati ya Uendeshaji (Project Steering Committee) ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo IKolojia Vijijini (Ecosystem Based Adaptation for Rural Resilience - EBARR in Tanzania) ambacho pamoja na mambo mengine kimepitia Taarifa ya Utekelezaji wa Mradi kwa Mwaka 2021/2022 na Mapendekezo ya Bajeti na Mpango kazi kwa mwaka 2022/2023 kilichofanyika leo Mei 24, 2022 jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...