Kamishna Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee akikagua nyumba za askari Gereza Uyui, Tabora. Kamishna Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na askari wa Gereza Kuu Uyui, Tabora mara baada ya kutembelea Gereza hilo leo Mei 16, 2022. Picha zote na Jeshi la Magereza
Baadhi ya Samani mbalimbali zinazotengenezwa na katika Kiwanda cha Samani Uyui, Tabora. Kiwanda hicho kipo Gereza Kuu Uyui.



KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee mapema leo amezindua miradi ya Gereza Kuu Uyui,Tabora. Miradi hiyo ni mradi wa Duka, Mashine ya kusaga, majengo ya biashara. CGP Mzee amepongeza juhudi hizo za kumuunga mkono Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa mema anayoyafanya kwa Jeshi na Taifa kwa ujumla.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...