Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akifunga Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma ,leo Mei 21 ,2022.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM , Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM (CAUCUS) Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza katika Semina Ya Wa Bunge wa Bunge la Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).liyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma ,Leo Mei 21, 2022.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Komred Abdulrahman Kinana akizungumza (wakati wa uwasilishaji wa mada) katika Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma liyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma ,Leo Mei 21, 2022..




Wajumbe wa Sekretariet ya Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Daniel Chongolo (wa kwanza kushoto) wakifuatilia Semina hiyo ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma ,Leo Mei 21, 2022..



Sehemu ya Wajumbe wa Semina hiyo
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...