Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mamlaka hiyo muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Maonesho ya Biashara-SabaSaba barabara ya Kilwa, Temeke jijini Dar es salaam.  TCRA inashiriki Maonesho hayo kwa kutoa elimu kwa watumiaji huduma za Mawasiliano. Picha: TCRA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Dkt Jabiri Bakari akikagua banda la Mamlaka kwenye viwanja vya maonesho ya biashara SabaSaba jijini Dar es salaam

Wananchi wakiingia na kutoka kwenye banda la TCRA katika Maonesho ya Viwanda na Biashara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam kupata elimu,huduma na msaada  wa huduma za Mawasiliano. Picha: TCRA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Dkt Jabiri Bakari (wa sita kushoto) katika picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka  wanaotoa huduma za Mawasiliano kwenye viwanja vya maonesho ya 46 ya biashara SabaSaba jijini Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...