Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo akiwa na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na   Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair alipofika Ikulu Jijini Zanzibar  kwa mazungumzo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 05/07/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kuliai) akiaagana na mgeni wake   Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar  akiwa na ujumbe wake
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...