Waziri wa afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akipokea zawadi Kutoka kwa Afisa wa Benki hiyo Anthony Kunambi wakati alipotembelea banda la benki ya Akiba hapo jana katika maonyesho ya 46 ya kimataifa ya biashara, banda la Akiba lipo sabasaba hall ndani ya viwanja vya sabasaba, aidha Mhe. Waziri ameipongeza benki ya Akiba kwa kuendelea kuwahudumia wafanyabiashara wa kada mbalimbali hapa nchini kwa weledi mkubwa.


Afisa wa Benki ya Akiba Anthony Kunambi akitoa maelezo kutusu huduma na bidhaa wanazotoa patika banda la sabasaba kwa wateja waliotembelea banda hilo linalopatikana Katika ukumbi wa SabaSaba Hall mapema jana.


Afisa wa Benki ya Akiba Anthony Kunambi akitoa maelezo kutusu huduma na bidhaa wanazotoa katika banda la sabasaba kwa Mteja aliotembelea banda hilo linalopatikana Katika ukumbi wa SabaSaba Hall mapema jana.
Zawadi zikiendelea kutolewa katika Banda la Akiba linalopatikana katika Banda la SabaSaba HALL [caption id="attachment_114416" align="aligncenter" width="2560"] Wafanyakazi wa Benki ya Akiba wakiwa na waandishi wa habari kutoka Televisheni ya Taifa baada yaa kuwakabidhi Zawadi baada ya kutembelea banda lao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...