Na Mwandishi wetu
NAIBU Waziri Wizara ya Ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi , Ridhiwani Kikwete amesema Haiwi mwisho kusikiliza kero mbalimbali za migogoro ya ardhi mpaka tuseme sasa mwisho, kwa kupata suluhu la utatuzi wa migogoro hiyo.

Ameeleza Mzigo wa kusikiliza kero za Ardhi kwasasa unaendelea Morogoro ,na anaamini ipo siku kero hizo zitapungua.

Ridhiwani ameeleza, wakati kero zikisikilizwa ,jamii iendelee kujiepusha kuzalisha migogoro mipya ya ardhi ikiwemo ya mipaka, wawekezaji,mtu na mtu, uvamizi na mengine kwani Mengi yanatokea lakini anaamini tutafika pazuri @wizara_ya_ardhi #KaziInaendelea #ArdhiYetu


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...