NJOMBE
Betreace Malekela amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) wilaya ya Njombe mpaka mwaka 2027 kwa kura 275.
Beatrece amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo wilaya ya Njombe kwa mara nyingine akitetea nafasi hiyo tangu alipochaguliwa mwezi March 2021 baada ya aliyekuwa mwenyekiti kubaki na nafasi ya udiwani.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...