Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Njomba, Alex Ngailo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania ( MKURABITA) Dkt Sreaphia Mugembe (kushoto) wakifunua pazia ikiwa ni ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Masjala ambao umedhamini wa (MKURABITA) katika Kijiji cha Malembuli, Kata ya Mang'oto wilayani Makete Septemba 24, 2022. Kulia ni Mbunge wa Makete, Festo Sanga na Diwani wa Kata ya Mang'oto, Osmund Lucas.
Jengo lililowekewa jiwe la msingi.
Mkurugenzi Mtendaji wa MKURABITA, Dkt Saraphia Mugembe (kushoto) akiungana na wananchi wa Kijiji cha Malembuli kucheza kwa fura wakati wa uwekaji wa jiliwe la Msingi katika ujenzi wa jengo hilo la Masjala.
Baadhi ya wananchi walihudhuria hafla hiyo.



Dkt Seraphia Mugembe akihutubia.
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Malembuli, Stella Sichela akihamasisha wananchi wakati wa hafla hiyo.


Diwani wa Kata ya Mang'oto akitoa shukrani kwa Mkurabita na wananchi kushiriki katika ujenzi huo.


Juma Mtali Mhandisi wa MKURABITA anayesimamia ujenzi wa jengo hilo,

Dkt Mugembe akitoa maelezo ya ziada kwa Ngailo mgeni rasmi aliyemwakiliasha Mkuu wa wilaya

bunge wa Makete, Festo Sanga akitoa shukrani kwa MKURABITA kwa kufanikisha ujenzi wa jengo hilo.





Kaimu Mkuu wa Wilya ya Makete, Ngailo akihutubia pamoja na kutoa shukrani kwa MKURABITA kutoa fedha za ujenzi wa jengo hilo.

Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na kamati ya ujenzi wa jengo hilo.

Dkt Mugembe akiwa na mmoja wa wazee wa kijiji hicho akiondoka baada ya kuweka jiwe msingi katika jengo hilo ambapo ameahidi kutoa fedha za kumalizia ujenzi pamoja na samani za kiofisi.




PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, zikitolewa shukrani hizo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...