Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akielekeza jambo kwa ishara muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.Kushoto ni  Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Daniel Chongolo 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Daniel Chongolo (kushoto) muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Ndugu Adam Kimbisa (kulia) muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wakiwa kwenye shangwe ikiwa sehemu ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...