Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Tanzania Bw Jaffari Matundu (Kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya benki hiyo toka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim baada ya benki kuwa miongoni mwa benki tatu bora katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA). Wanaoshuhudia ni pamoja na Mwenyekiti Bodi ya NBAA, CPA Prof. Sylivia Shayo (Kushoto) . Tuzo hizo zilitolewa jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Mwakilishi kutoka Benki ya Exim Tanzania Bw Frim Paul (Kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya benki hiyo toka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha maandalizi ya tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2010 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Wanaoshuhudia ni pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, CPA Pius Maneno. Tuzo hizo zilitolewa jijini Dar es Salaam hivi karibuni.





Viongozi waandamizi wa Benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Bw Jaffari Matundu (Katikati) wakionesha tuzo walizopata kwenye hafla ya tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2010 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).

Muonekano wa tuzo umahiri ambazo benki ya Exim Tanzania ilifanikiwa kuzitwaa kwa wakati wa hafla ya tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2010 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).

Washindi wa tuzo mbalimbali zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa utoaji wa tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...