Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Yapi Merkezi Erdem Arioglu (Katikati), akiongea katika hafla ya siku ya sekta binafsi Tanzaniia na utoaji tuzo zilizoandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Ijumaa iliyopita. Halfa hiyo ya utoaji tuzo ilihudhuriwa na viongozi wa makampuni mbalimbali nchini.


Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Yapi Merkezi Erdem Arioglu, akisikiliza kwa umakini katika mjadala wa viongozi wa sekta binafsi uliombatana na hafla ya utoaji tuzo zilizoandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Ijumaa iliyopita. Hafla hiyo ya utoaji tuzo ilihudhuriwa na viongozi wa makampuni mbalimbali nchini.

Jopo la wazungumzaji wa mjadala katika siku ya sekta binafsi, iliyoambatana na hafla ya utoaji tuzo na kutambua utendaji mzuri wa makampuni mbali mbali, zilizoandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Ijumaa iliyopita. Halfa hiyo ya utoaji tuzo ilihudhuriwa na viongozi wa makampuni mbalimbali nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...