Mkuu wa Divisheni ya Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Pieter de Jager (kulia), akiwa katikapicha ya pamoja na Maofisa wengine wa kampuni hiyo wakiwa wameshika Tuzo walizoshinda katika hafla ya utoaji tuzo wa Uwaandaaji na Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Hesabu zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu (NBAA), ya mwaka 2021 katika hafla iliyofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Jamal Kassim Ali akikabidhi tuzo ya Mshindi wa kwanza kipengele cha wazalishaji viwandani katika tuzo za uandaaji na uwasilishaji Bora wa Taarifa za Hesabu zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu (NBAA), ya mwaka 2021 kwa Mkuu wa Divisheni ya Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Pieter de Jager katika hafla iliyofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.wengine kulia ni Maofisa wa Tanga Cement
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Jamal Kassim Ali akikabidhi tuzo ya mshindi wa jumla katika tuzo za za uandaaji na uwasilishaji Bora wa Taarifa za Hesabu zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu (NBAA), mwaka 2021 kwa kwa Mkuu wa wa Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Isaac Lupokela katika hafla iliyofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Maofisa kutoka Tanga Cement wakiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar, Jamali Kassim Ali (kushoto), akikabidhi Tuzo kwa Meneja Mauzo kitaifa wa Kampuni ya Tanga Cement Mhandisi Leslie Masawe wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) ambapo Tanga Cement ilishiriki kwenye maadhimisho hayo jijini Dar es Salaam Novemba 30, 2022
Washindi wa jumla wa tuzo zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa utoaji wa tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye hafla iliyofanyika katika Hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Washindi wa Kwanza wa tuzo zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa utoaji wa tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye hafla iliyofanyika katika Hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...