Waziri wa Biashara na maendeleo ya viwanda Zanzibar Mhe Omar Said Shaaban akitembelea jengo la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwenye maonesho ya bidhaa za viwanda Tanzania yanayofanyika Viwanja vya maonesho wa Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) na kupewa maelezo ya kina ya mradi wa matumizi ya gesi asilia majumbani kutoka Kwa Mhandisi Eva Swila wa TPDC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...