Kuwa Mshindi na Titan Roulette       

Leo nataka nikupe chimbo moja la kucheza na kushinda kwa urahisi, ni pale Meridianbet kasino ya mtandaoni kuna sloti moja inaitwa Titan Roulette ni bonge moja la mchezo, tena linakupa nafasi ya kushinda mpaka mara 36 ya dau lako uliloweka.

Mchezo huu wa Titan Roulette ni sloti bomba yenye miondoko ya kizamani wenye maudhui ya Roulette za ulaya, ni moja ya mchezo unaopendwa zaidi ulimwenguni kote, unapokuwa unaucheza unajihisi kama upo ulaya ulaya vile kumbe upo ndani ya ardhi ya Tanzania. 

Mchezo huu umetengenezwa na watenganezaji wa michezo ya kasino maarufu wa Expanse Studiosunaupata kwenye Kasino ya Mtandoni ya Meridianbet.

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa nafasi ya ushindi kupitia mchezo wake wa Titan Rouletteunaokuletea ushindi zaidi ya mara 36 ya dau uliloliweka kwa alama kuu na zaidi ya mara 18 kama ukibashiri alama 2, zaidi ya alama 9 kama ukibashiri zaidi ya alama 12.  

Usisubiri kusimuliwa jiunge leo Meridianbet na ukusanye mshiko wako kupitia http://www.meridianbet.co.tz

Jinsi ya Kucheza Titan Roulette

Ni dhahiri kwamba mchezo wa Titan Roulette ni mchezo rahisi na usiohitaji akili nyingi kwenye uchezaji wake. Mchezo huu una namba 0 hadi 36, na una rangi tatu ambazo ni KijaniNyekundu na Nyeusi

Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri kete iliyopo kwenye gurudumu itaangukia kwenye namba ipi? Sio hivyo tu, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea machaguo mbalimbali ambayo yatakupa fursa ya kushinda, kama vile Start/Skip, Inside and Outside Bets pamoja na Called Bets.

Ushindi kwetu upo kwa ajili yako, ingia mchezoni kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet na mchezo wa Titan Roulette utapata mara 2 ya faida yako baada ya mchezo. Jiunge leo uwe sehemu ya washindi wa  Meridianbet.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...