Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Urusi Mhe. Andrey Avetisyan (kushoto) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, jijini Dar es Salaam.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akizungumza na Balozi  wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Fahadi Siraji CCM).
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akimsindikiza wa Balozi  wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan, mara baada ya mazungumzo yao leo  Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam,.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, jijini Dar es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akizungumza  na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) pamoja na Ujumbe alioambatana nao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, jijini Dar es Salaam. (Picha  Zote na Fahadi Siraji /CCM).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...