Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Gekul (kulia) akisalimiana na baadhi ya wajumbe
wa Menejimenti ya Law School alipowasili kwenye taasisi hiyo juzi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kupata uelewa wa majukumu yanayotekelezwa.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Gekul (kushoto) akimsikiliza Naibu Mkuu wa
Taasisi, Prof. Zakayo Lukumay (katikati) kuhusu mfumo wa ufundishaji unaotumika Law School
alipotembelea taasisi hiyo juzi jijini Dar es Salaam. Kulia ni mhadhiri aliyekuwa darasani
akiwafundisha wanafunzi ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria nchini,
Griffin Mwakapeje.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Gekul (kushoto) akiwasalimia baadhi ya
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Gekul (kulia) akitembelea mazingira ya Law
School ili kuona miundombinu mbalimbali ya taasisi hiyo. Kushoto ni mwenyeji wake Naibu Mkuu wa
Taasisi, Prof. Zakayo Lukumay.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Gekul (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Gekul (kulia) akipata maelezo jinsi ya kupata
machapisho ya kielektroniki katika maktaba ya Law School (computer lab) kutoka kwa mwanafunzi
wa taasisi hiyo (aliyekaa). Wengine pichani ni watumishi wa Taasisi hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...