tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post4031732405043012520..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: libeneke la nondozzz latimiza miaka mitatuMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-14390039186924409692010-07-16T00:26:43.094+03:002010-07-16T00:26:43.094+03:00hongera sana kwa ku graduate na pia kutuhabarisha...hongera sana kwa ku graduate na pia kutuhabarisha kuhusu scholarship
may God bless you.
Mdau USAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-51345126591691020732010-07-15T09:13:05.714+03:002010-07-15T09:13:05.714+03:00makulilo hongera sana kwa kupata masters lakini ka...makulilo hongera sana kwa kupata masters lakini kaka naona hypertension inakusogelea jaribu kula sana mboga za majani acha mapochopocho bado tunapenda kukuona ukitupa news za ulaya.

mdau, bongoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-62327923122432856582010-07-15T03:56:52.051+03:002010-07-15T03:56:52.051+03:00Hongera Mdau Makulilo na my wife wako. Nilipata ba...Hongera Mdau Makulilo na my wife wako. Nilipata bahati ya kukusikiliza/kukuona kwenye ITV ulipofanya interview yako ya nguvu. Naamini ukiweka interview ile kwenye youtube na blog yako itakua njema sana. Nakushauri ushirikiane na magazeti ya hapa nyumbani uwe unatoa articles za scholarships walau kwa wiki mara moja ili watu wengi wapate info hizo.

Unachokifanya hujui impact yake. Unasaidia watu wengi mno, na unapunguza uzandiki uliokuwepo na wizi/rushwa kwa wanaojiita maajenti wa vyuo na wizarani.

Mungu akuzidishie upendo wako, na uendeleze libeneke jema.

Hongera kwa master's degree yako. Unaongoza kwa mfano, wewe mwenyewe umepata scholarships na unasaidia wengine nao wapate scholarships.

Mdau wa nondoziiiiiii

Political Science, UDSM, 2009Anonymousnoreply@blogger.com