tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post4233580624324363491..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: pinda ahudhuria mkutano ghanaMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-19254810773249448452008-10-06T22:42:00.000+03:002008-10-06T22:42:00.000+03:00anon hapo juu 2:12pm hicho kivazi sio kirt ni kilt...anon hapo juu 2:12pm hicho kivazi sio kirt ni kilt ukisema kirt ushaleta maana nyengine asante.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-26380941762959992712008-10-04T14:12:00.000+03:002008-10-04T14:12:00.000+03:00Huku scotland hiyo wanaita KIRT ni vazi asilia lil...Huku scotland hiyo wanaita KIRT ni vazi asilia lililo expensive sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-55408457365798448442008-10-03T21:12:00.000+03:002008-10-03T21:12:00.000+03:00Hapana, sio skirt wala vazi la taifa bali alitoka ...Hapana, sio skirt wala vazi la taifa bali alitoka kuoga. Hiyo ni taulo. Inasemekana alihisi joto ghafla akaingia bafuni fasta! Hehehe...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-77074423870127371812008-10-03T13:48:00.000+03:002008-10-03T13:48:00.000+03:00Michu na WadauKuna taarifa eti ziliwahi kutangazwa...Michu na Wadau

Kuna taarifa eti ziliwahi kutangazwa na BBC sina hakika kama ni sahihi kwamba huko Papua New Guinea kuna lugha ya asili inafanana sana na lugha ya Kinyamwezi cha zamani ingawa lugha hiyo hivi sasa imechanganyika na baadhi ya lugha za huko je habari hizi ni za kweli?

Mdau MuddyAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-63667337798603411752008-10-03T12:03:00.000+03:002008-10-03T12:03:00.000+03:00ACP ni Jumuiya muhimu sana kwetu kiuchumi na kibia...ACP ni Jumuiya muhimu sana kwetu kiuchumi na kibiashara.hususan katika kujenga msimamo wa pamoja baina ya nchi changa za jumuiya hiyo na nchi zilizo endelea zaidi kwa viwanda duniani.Ulikuwa ni mkutano muhimu sana kwetu watanzania.Labda katika mkutano mwingine utakaohusu mambo ya malaria na ukimwi labda mawaziri wetu wa masuala ya uchumi na viwanda na biashara ndiyo watakao chaguliwa wakatuwakilishe!In Tanzania no wonder a Medical Doctor can become a District Administrator!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-48335280191340482092008-10-03T05:41:00.000+03:002008-10-03T05:41:00.000+03:00VIONGOZI WETU WAONE KUWA SIKU ZA KUKUMBATIA MAVAZI...VIONGOZI WETU WAONE KUWA SIKU ZA KUKUMBATIA MAVAZI YA WAKOLONI ZIMEKWISHA. WAAFRIKA TUNAWEZA KUVAA MAVAZI YA ASILI YETU NA KUPENDEZA PIA. SIO SUTI KILA KUKICHA. KUANZIA KIPAIMARA, KUOA / KUOLEWA, MAOFISINI HADI KUFA NI SUTI TU ZA NINI?

PINDA ANA LA KUJIFUNZA HAPO KWA VIONGOZI WA AFRIKA YA MAGHARIBI.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-50593727673143164212008-10-03T04:48:00.000+03:002008-10-03T04:48:00.000+03:00mbona huyo wa guinea kavaa skirt?mbona huyo wa guinea kavaa skirt?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-58012230954280578062008-10-03T03:41:00.000+03:002008-10-03T03:41:00.000+03:00Hilo ndilo vazi la taifa kwa visiwa hivi vya Papua...Hilo ndilo vazi la taifa kwa visiwa hivi vya Papua new Guinea,Fiji Samoa n.k ni kama sketi fulani hivi ila jamaa wanajivunia na vazi lao la taifa...na sie hapa bongo tuwe tunavaa mavazi yetu kukuza utamaduni wetu..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-6545480644302346112008-10-03T03:01:00.000+03:002008-10-03T03:01:00.000+03:00ndio huko wanaume wanavaa sketi kama vile wamasai ...ndio huko wanaume wanavaa sketi kama vile wamasai wanavyo vaa shuka!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-14926053797356566092008-10-03T00:25:00.000+03:002008-10-03T00:25:00.000+03:00Hivi huyu jamaa kavaa sketi, au ?Hivi huyu jamaa kavaa sketi, au ?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-38597736340513122452008-10-02T20:53:00.000+03:002008-10-02T20:53:00.000+03:00Nchi inaitwa Papua New Guinea,ni vizuri kuwa unaha...Nchi inaitwa Papua New Guinea,ni vizuri kuwa unahakikisha spelling kabla hata ya kupeperusha.Anonymousnoreply@blogger.com