tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post4258893293419657503..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: dream teamMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-18767665061091102472007-12-09T12:31:00.000+03:002007-12-09T12:31:00.000+03:00KAGAME ANACHOFANYA YEYE NI KUIBA MADINI YA ZAIRE (...KAGAME ANACHOFANYA YEYE NI KUIBA MADINI YA ZAIRE (KONGO)ANAMTUMIA (NKUNDA) NA KUHAKIKISHA ANAPUNGUZA RUSHWA KWAKE (KUMBUKA WAHINDI WAFANYA BIASHARA NI WACHACHE SANA RWANDA)..SASA WEWE UTAJAZA..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-46647669059550823192007-12-08T13:20:00.000+03:002007-12-08T13:20:00.000+03:00Museveni ovyoooo!!! atakuja leta shida huyo, kwake...Museveni ovyoooo!!! atakuja leta shida huyo, kwake anaharibu tu, wananchi hawamtaki anashinda kwa two ten.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-39633923751591785472007-12-08T02:18:00.000+03:002007-12-08T02:18:00.000+03:00Huyo wa kulia mbona kakaa kihuni..ndio maana hata ...Huyo wa kulia mbona kakaa kihuni..ndio maana hata dress code imechoka na soksi zake za blue kama mchezaji wa Cosmo.. anayewajua hawa wote atutajie majina basi...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-16090931822295042422007-12-06T04:06:00.000+03:002007-12-06T04:06:00.000+03:00Nasikia Kikwete na Mseven huwa ahaziivi, hivi ni k...Nasikia Kikwete na Mseven huwa ahaziivi, hivi ni kwa sababu gani? Pili, Kikwete amezidi mno kuwa mshabiki, viongozi wanamuangusha na watazidi kumuanguasha. Ushauri wa bure kwa Kikwete; kiongozi yeyote anayepata kashfa muweke pembeni kwanza na kisha kama ataaminika hakufanya ufisadi mrudishe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-71682404501017781802007-12-06T00:43:00.000+03:002007-12-06T00:43:00.000+03:00Wote hao ni "born-again" Christians, ukiondoa Kikw...Wote hao ni "born-again" Christians, ukiondoa Kikwete na Karume! Shauri ya "influences" za wake zao - "so-called First Ladies".

Lakini tumefunga macho hatuoni jinsi ambavyo siasa zetu zinavyoingiliwa na "influence" hii!!

Lakini kwa nini majina yao yote yanaanza na K?

Karume
Kagame
Kaguta
Kibaki
Kikwete
Kurunziza (Nkurunziza)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-80467930849503535732007-12-05T16:39:00.000+03:002007-12-05T16:39:00.000+03:00Ndugu yangu Michuzi!wewe kama mwandishi wa habari ...Ndugu yangu Michuzi!wewe kama mwandishi wa habari unatikiwa kuwa mstari wa mbele kuiendeleza lugha yetu ya taifa. Lakini ndiyo kwanza wewe umekuwa mbomoaji. "ist africa mashariki". Ni vema hata ukiandika ist Africa inaeleweka. Lakini ist na mashariki vyote kwa pamoja!malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-85208680364645799942007-12-05T13:31:00.000+03:002007-12-05T13:31:00.000+03:00Tanzania is now nearly a top corrupted country we ...Tanzania is now nearly a top corrupted country we are beating kenya soon we gonna be on the top.
The great thing is that Tanzania is a peaceland and Tanzanians are very kind.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-23218626513397387652007-12-05T12:55:00.000+03:002007-12-05T12:55:00.000+03:00Huyo Museveni huyo amekaa ki uchuuchu sana wa mada...Huyo Museveni huyo amekaa ki uchuuchu sana wa madaraka huyo.
Mwenzenu alishajiesabu kwamba ni Rais wa kwanza wa ist afrika mashariki nyie mumemuangusha!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-7104605746009781642007-12-05T10:50:00.000+03:002007-12-05T10:50:00.000+03:00Wewe annoy wa 4:18 nakuunga mkono kabisa Kagame an...Wewe annoy wa 4:18 nakuunga mkono kabisa Kagame ana akili bwana nilikuwa kule nchini kwake wiki jana jana nchi inakwenda hakuna ubabaishaji kama wa Bongo!Kiongozi aikishutumiwa tu na wananchi kwamba anakwenda ovyo kama akina Karamagi.Balali na wengine wengi anamuweka pembeni na akiprove ulikuwa uongo anamrudisha!Hapa bongo Kikwete amekuwa softi sana au hawa ndo walimsaidia kuingia madarakani?Afu Karume hapo anafanya nini yeye ni Rais wa Zanzibar na si moja ya viongozi wa Jumuia ya Afrika Mashariki!Alafu Kagame alipoingia tu aliuliza uwepo wa Karume pale nasikia wakayeyusha ati kamsindikiza Kikwete sasa nao wakiamua kusindikizwa na wengine tutakuwa na marais wangapi jumuia ya Afrika Mashariki?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-61399517284083063772007-12-05T07:49:00.000+03:002007-12-05T07:49:00.000+03:00Na huyo wa mwisho kushoto anafanya nini sasa hapo....Na huyo wa mwisho kushoto anafanya nini sasa hapo. Hatari kubwa kwamba Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa inawakilishwa na marais wawili!!!!!!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-25731413410737655782007-12-05T04:18:00.000+03:002007-12-05T04:18:00.000+03:00hapo mwenye akili mmoja tuu Kagame wa Rwanda wengi...hapo mwenye akili mmoja tuu Kagame wa Rwanda wengine wote wala rushwa na wa kwetu JK ni soft sana kuwakemea mafisadi na hana vision,Rwanda sasa wanaendelea sana na watatuacha mbali sana sio siku nyingi na nchi yao hakuna rushwa kabisaAnonymousnoreply@blogger.com