tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post4497375141319364856..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: wahaririMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-32485753209958524192007-06-08T18:11:00.000+03:002007-06-08T18:11:00.000+03:00enyi wahaririwatukufu,mi naomba mnijibu swali moja...enyi wahaririwatukufu,mi naomba mnijibu swali moja kupitia hii blogu.JE MMEKAMATISHWA KITU KIDOGO NA JAMAA WA TBS/WTM? HOW COME STORY YA UTAPELI WA HAWA WATU HUKO UINGEREZA MNAIBANIA?HAMUONI KWAMBA NI SERIOUS STORY?AU MPAKA WATU WAANDAMANE WAPIGWE VIRUNGU NA WENGINE LABDA WAPIGWE PI HUKO UK NDO MSHTUKE NA KUANDIKA.ACHENI HIZO UR GROWN UPS!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-80713757720355241322007-06-08T00:54:00.000+03:002007-06-08T00:54:00.000+03:00Wanawake wanachallenge sana...ndio maana wamewawek...Wanawake wanachallenge sana...ndio maana wamewaweka wawili tu....Hawa wote unawaowaona ni yes sir people.<BR/><BR/>Put women and see how the job will be done..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-26079844344877700142007-06-07T09:25:00.000+03:002007-06-07T09:25:00.000+03:00Mie nampongeza yule tu wa gazeti la MwanaHalisi al...Mie nampongeza yule tu wa gazeti la MwanaHalisi aliyeuliza swali kuhusu "Mr. Clean" na Kampuni yake. Nakufagilia babake!<BR/>Wengine wote WAOGA nyinyi!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-41880337183701097602007-06-07T07:15:00.000+03:002007-06-07T07:15:00.000+03:00inaonesha jinsi mfumo dume ulivyokomaa vyomboni vy...inaonesha jinsi mfumo dume ulivyokomaa vyomboni vya habari... hakuna wahariri wanawake, isipokuwa hao wawili tu, tena nadhani wanatoka majarida maalum ya wanawake. TAMWA mpo??Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-23874833411047397822007-06-07T00:16:00.000+03:002007-06-07T00:16:00.000+03:00Mimi sio staiisti wala nini lakini hii staili ya J...Mimi sio staiisti wala nini lakini hii staili ya JK inachosha. Sijaona raisi akaitisha mkutano na kuvaa huu upuuzi. waachie watu wa fleva na wanamichezo wavae hivyo.Anonymousnoreply@blogger.com