tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post4508954898819008976..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: JK roars in arushaMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-10728646492258575602008-11-07T13:36:00.000+03:002008-11-07T13:36:00.000+03:00I am very troubled by this Presidential Speech qui...I am very troubled by this Presidential Speech quite honestly!It is far from being pragmatic and practical let alone feasible!Tatizo letu hapa Tanzania mambo yetu yamejaa Hypotheticals,Theories na Desk Research kibao!When you put those financial intruments into practice they dont yield the results.Bado kuna mambo mengi sana hayajafanyika hapa nchini before you can even talk of these financial reforms!The domestic economy is so heavily donor dependent;so technologically dependent on foreign laboratories;skinny skilled manpower;etc etc.Unakutanisha Mabenki na Vyombo vya Fedha vizungumzie mabadiliko na maboresho katika taasisi za fedha nchini LAKINI HAKUNA ANAYEJUA KWA UHAKIKA ni asilimia ngapi ya pesa zote nchini zilizopo mikononi mwa watu wachache sana hapa nchini wanaojiita "Matajiri" na ni asilimia ngapi ya pesa zote nchini zilizopo mikononi mwa watu mafukara ambao ndiyo wengi nchini karibu asilimia 85% ya watu wote.Has the Government or the Bank of Tanzania ever carried out recently any Income Redistribution Study to establish the 'Ginni Coefficient of Income Ditribution in Tanzania?'.Je,serikali inatambua ni kwa nini Soko La Hisa Na Mitaji La DSM Limekwama na halipanuki?Kwanini Makampuni mengi hapa nchini yanakwepa kuuza Hisa zake katika soko la wazi la hisa?Kwanini Makampuni mengi hayana Mahesabu Yaliyokaguliwa na Wakaguzi wa Mahesabu na Mizania zao za Mahesabu kuwekwa hadharani katika Magazeti au Mitandao ili wenye nia ya kununua hisa katika makampuni hayo waweze kufanya hivyo?Kinachofanyika hivi sasa katika Mkutano huo wa Taasisi z Fedha nchini ni sawasawa na Mtoto ambaye hata kutambaa hajaweza ukakimbilia kumfundisha ajue kutembea kwa miguu yake kabla hata miguu yake bado haijakomaa kwa kazi hiyo nzito!Ikiwa Treasury Bills bado ziko katika Riba ya asilimia 18% au 16%,utatarajia vipi Mabenki watoe mikopo kwa Riba ambayo itakuwa chini ya asilimia 15%?What are the various financial instruments available in the Tanzanian Financial Market?How spread is the Financial Portfolio in the Tanzanian Financial Market?Sikumsikia Rais Kikwete hata sehemu moja akizungumzia kuhusu UMUHIMU WA DHAHABU YETU KAMA MOJA YA FINACIAL ASSETS MUHIMU KATIKA UCHUMI WETU?kwanini?why did he omit Gold from his discussion or the role of precious metals in our Financial System?Was it deliberate or due to Ignorance on the subject?Kuna maeneo mengi sana ambayo lazima yafanyiwe Ukarabati wa Hali ya Juu ili Sekta ya Fedha nchini iweze kufanya kile kilichokusudiwa kwa ufanisi mkubwa.Lakini ninacho kiona hapo ni Usanii Mtupu na Ubabaishaji wa watu kujifanya wana ma PhD's lakini makaratasi matupu!Kusoma sana nadharia vyou vikuu ni Kitu kimoja NA KUTENDA KWA VITENDO MABADILIKO YAKAONEKANA NI KITU KINGINE!Sisemi kilichozungumzwa hakina maana au hakifai,hapana.Ninachosema ni kwamba kuna mambo muhimu kadhaa yatakayo hitaji kufanyika hususan na serikali kabla ya kuitisha mkutano kama huo wa taasisi za fedha ili matokeo yake yaweze kutekelezeka kiuendelevu,on a sustainable basis!Economic Advisors si wapo jamani?sijui kutoka ESRF au ERB sijui?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-63989275726914723672008-11-07T12:08:00.000+03:002008-11-07T12:08:00.000+03:00Hakuna redio mbao hapoAnachosema anony wa kwanza k...Hakuna redio mbao hapo
Anachosema anony wa kwanza kina ushahidi na kama kuna mtu anataka ushahidi aandike contact zake humu ili apewe huo ushahidi

Mr. P anaanza kujisahau kidogo kama yeye ni prezidaa wa nchi au jamii ya wanayanga.

Mr P ... hana real feelings and pains za wananchi wa chini ...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-82204650575005632072008-11-07T11:42:00.000+03:002008-11-07T11:42:00.000+03:00We Anony wa November 07, 2008 10:28 AMHamna kitu h...We Anony wa November 07, 2008 10:28 AM

Hamna kitu hapo ...changa la macho hiloo

Kalagha bao ...!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-42838603979188408482008-11-07T11:40:00.000+03:002008-11-07T11:40:00.000+03:00NATONo action talking only.................." Hivi...NATO

No action talking only

" Hivi juzi juzi uliomba kura zeetuu, ahadi nyngi ulizimiminaaaa!!! ...Elimu bora, Afya bora, ....

HIyeee X 2

Mr. Politiciaaaaan ...ooohhh no !!!

If you talk X 4 then you walk the talk

Nipeni kura zenu X 2Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-62920127997475863882008-11-07T10:28:00.000+03:002008-11-07T10:28:00.000+03:00Nimefurahi sana kusikia hotuba hii aliyotoa Rais p...Nimefurahi sana kusikia hotuba hii aliyotoa Rais pale Arusha.

At last Tanzania is OPEN FOR BUSINESS

Nasikitika kwamba ni wachache wataweza kuliona hili kwa mtazamo huu wa kinadharia na wataendelea kuponda wawekezaji. Kwa hao, ninawapa pole kwani kuwaelimisha ni kazi bure.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-60949094177622905042008-11-07T10:12:00.000+03:002008-11-07T10:12:00.000+03:00I appreciate the comments of my fellow Tanzanians ...I appreciate the comments of my fellow Tanzanians on this issue, but I beg to differ. We have seen that JK is taking action to deal with serious issues in the country, at least he is doing something. HOW he does it is another issue. As the saying goes, you point a finger at someone, three fingers are pointing at you. What are we doing as Tanzanians kama sio kupiga domo kulaumu? Maandiko yalisema kuhusu yule mwanamke mzinifu, kuwa asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe - hakuna aliyeweza. ndio kama sisi tunaobwabwaja na data mostly from shallow research na radio mbao. I am so sick of hearing lawama lawama lawama. I don't believe kama Watanzania tumekuwa watu wa kulaumu tu. JK peke yake hataweza, Mwalimu Nyerere aliwahi kusema IT CAN BE DONE, PLAY YOUR PART. Acheni hizo! Tunapenda kuji-compare na Marekani, come on! Africa ina nchi ngapi zaidi ya Tanzania ambazo tunweza tukajilinganisha nao? Mimi si msomi lakini nina hakika Tanzania is far better off than many countries in Africa. Katika nchi nyingine, ile kuandika tu maoni kama haya, huwezi. Let us change, tuanze ku advise, ku-propose new ideas, ku-fanya kazi kwa uzalendo kila mtu na sehemu yake and I believe that effect will spread. IT CAN BE DONE - PLAY YOUR PART! Acheni domo domo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-17052191643782675012008-11-06T20:20:00.000+03:002008-11-06T20:20:00.000+03:00Wadau hii hotuba imeandikwa na watu kama aina nne ...Wadau hii hotuba imeandikwa na watu kama aina nne ambao wote wanataka habari zao zitajwe. Na msomaji mwenyewe ambaye ni rais mwenye degree ya uchumi amejitapeli kuisoma na katapeliwa na wasomi zaidi yake.
Sawa alikuwa akiisoma katika ufunguzi wa vyombo vya kifedha na alijaribu kueleza mambo yanayotutatiza kifedha ili asaidiwe.Ma- speach writer wetu wanaunganisha mambo hovyo hovyo, wakifikiri wanaenda na wakati, kumbe wanatibua kila kitu.
Pili , amechemsha zaidi alijaribu kuongelea mpika chapati ili awaguse walalahoi , lakini ni geresha isiyo na mfano. Kama kweli angekuwa na huruma angeongelea wafanyakazi ambao ni kishika mgongo cha pili cha kunyanyua uchumi hapa TZ. Maana wao wakiwa hawana fedha za kulisha majumbani kwao , basi wake zao husaidia kwa kupika vitumbua na chapati. sasa kumuongelea mpika chapati na kufikiri uchumi utanyanyuka kutokana na mpika chapati au mama ntirie basi ni kudanganyana. Maana tayari bread winner ambaye ni baba mfanyakazi ameshapigika kiuchumi.
Tatu, Rais anajua hali halisi na ameamua kutudanganya hata sisi kwa kuwa anatumia au anatumiwa na wasomi kusema sentensi kama hii "I am comforted Governor by your assurance that our financial sector remains safe" inanikumbusha Mr. McCain aliposema "our fundamentals of our economy are stong". Wakati hali ya kifedha ni mbaya sana. Financial sector haiwezi kuwa safe kama watu waliweza kuhodhi billioni 60 za EPA katika majumba yao kwa miaka miwili. Thamani ya Tshs imeshuka takribani mwezi wa saba mfulilizo kulinganisha na US dollar. Huo uchumi imara utatoka wapi. Tuna subsidies zipi za kurekebisha hiyo hali wakati hata hivyo vyanzo hatuna.Umeme umeanza kukatika na kuwa wa mgao, viwanda vinazalisha sasa chini ya uwezo wake kwa asilimia 50. Huo uchumi imara kifedha uko wapi sasa. mabenki yameshindwa kujiendesha tena na yapo mbioni kuomba seriklai kupitia wizara ya fedha iyakomboe kwa kuwapa mitaji ya kujiendesha.
Mikopo mingi ambayo mabenki ilikopesha iliyo nje imeshindikana kurudishwa benki. Maana mkopaji anasema kuna haja gani ya kulipa wakati kuna watu wameiba fedha EPA na wanaishi vyema.
Nne, Rais amezungumzia watu waliochukua fedha za EPA na kusema hatua zinachukulia za kisheria , lakini hakusema ni hatua gani amezichukua kuhakisha kwamba wizi kama ule hautatokea tena katika Mabenki, mashirika ya umma, mashirika binafsi na mawizara ya serikali. na kwa njia hiyo kuuhakikishia ummaa kwamba sheria za awali zitasaidia katika kuwabana wezi kufikiria au kuanzisha wizi kama ule.
Kuna taarifa zisizo rasmi zinazosema kwamba hata hiyo fedha iliyorudishwa ni ujanja tu, kwani fedha zile zimechapishwa na benki kuu na kupewa wale jamaa ili wazirudishe. Maana wananchi wameomba kuona "openly" vyanzo(transaction) za fedha hizo jinsi walivyozitoa katika mabenki yao na kupewa mabilioni ya Cash hadi kuzisafirisha tena katika mabenki yetu yahesabiwa.
maana miaka mitatu iliyopita watu walihoji huu wizi na serikali ikasema hakuna wizi uliyotokea na wanchi wasiwe na hofu kila kitu kiko imara. Wananchi kwa uongo waliodanganywa kama huu wameamini kwamba fedha hizi za EPA na zinginezo ndizo zilizotumika katika kuendesha uchaguzi wa rais uliofanya Raisi huyu huyu akashinda. Hivyo hisia zinaonyesha kwamba huenda ulihusika pia na wizi huu kwa aina moja au nyingine. Wizi huu ulifahamika pale seriklai ya uingereza ilipobaini wizi wa Radar ndio tukaanza kuona EPA nk zikishugulikiwa.
Mwaka jana pekee CAG- Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali na mashirika yake alianisha wizi wa mabillioni ya fedha za serikali yalivyotumiwa isivyo halali kununua vitu hewa,bila risiti, wala saini husika, na uwezo wa-ma Accounting officers kuamuru kuhamisha kasma za fedha zilizotengwa kwa shuguli fulani bila ridhaa wala mamlaka.
Uzembe na uongo kama huu na hasa hotuba kama hii unafanya wananchi wachoke na uongozi wako. Kwa kuwa haiwezekani Lukaza, Maregesi, na wenzake ambao tunawajua mitaani kama matapeli wa mjini katika mission ndio wawe wezi wakubwa wa EPA. Watu hawa waliokuwa na makampuni ya kuuza tena stationeries na ktuoa photocopies magomeni na sinza na law firms za kuwatoa majambazi wataweza vipi kuwa leo kuaminika na kupita kuwa wakandarasi eti waliokuwa wakiidai serikali katika biashara zao eti fedha za nje.
Hotuba hii ni mwanzo wa nyingi tu ambazo zina utapeli wa hali ya juu kwa wananchi wakawaida.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-28172479185049385912008-11-06T17:09:00.000+03:002008-11-06T17:09:00.000+03:00Nashukuru sana watanzania kwa kunipa kura zenu ......Nashukuru sana watanzania kwa kunipa kura zenu ... kwa kuanza nitafanya haya yafuatayo

1. Kuhakikisha Yanga inaifunga Simba.
2. Kumualika Bush
3. Kuitembelea dunia( nitahakikisha natembelea nchi nyingi iwezekanovyo kabla ya muda wangu wa uraisi kuishaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-33259934236295595432008-11-06T17:04:00.000+03:002008-11-06T17:04:00.000+03:00Our President atleast amepambana na Ujambazi ...la...Our President atleast amepambana na Ujambazi ...lakiniiiii?

Mbona haonyeshi kama anakitu chochote cha kuSubstantiate apart from usanii wa kuongea na safari za kila siku za minuso ndani na nje?
Kuna fununu kuwa anaingilia(misuse/abuse of power) issue za Simba na Yanga yeye akiwa kama Rais wa nchi
Mbaya zaidi tumesikia anatoa maamuzi ya chini chini kwa manufaa ya Yanga

Baada ya mechi ya Kombe la Kagame kati ya Simba na Yanga kutofanyika kutokana na Yanga kutotokea uwanjani kuna fununu kuwa aliwaita viongozi wa TFF na kuzungumza nao na baada ya hapo ikatokea kimya kimya mmoja wa viongozi wa TFF wa ngazi za juu
(ambaye alikuwa anashikilia msimamo kwamba kanuni zifuatwe na Yanga iadhibiwe kwa kugomea mechi)
ambaye pamoja ya kuwa kiongozi wa juu wa TFF pia alikuwa ni mwajiriwa wa shirika moja la umma akiwa kama afisa mwandamizi wa ngazi fulani, alihamishwa ghafla kutoka kwenye kituo chake cha kazi na kupelekwa mkoani ... kama sio Tanga basi Mtwara nafikiri...
Hapa inaonyesha kuna harufu fulani ya kumkomoa kutokana na misimamo yake ...
Ona sasa kilichofuata Yanga(Iliyokimbia mechi siku chache zilizopita) ikashinda mechi yake inayofuata na Simba ....
Hapa kuna harufu ya mkono wa mtu kutumika
Na kama kuna mtu anafikiri kuwa kutumia madaraka yake kwa ajili ya furaha yake binafsi ni suala la kufurahia basi nadhani ajiangalie vizuri

Kwani kura zilipigwa na watanzania wote bila kujali yupi ni Simba au yupi ni Yanga

kuna mambo mengi sana ya kushughulikia ambayo ni muhimu kwa watanzania wote.

Embu tuwe serious tuache "utoto utoto"

Kumbe Baba wa Taifa aliposema "utoto" nafikiri alimaanisha mambo kama haya

Hauwezi kutu"fake" kuwa mwanao ndio ametowa zawadi kuwazawadia Yanga ...yeye(huyo mwanao) ana kipato gani au anabiashara gani ya kuweza kumwaga mihela hiyo kwa wachezaji wote wa Yanga kwa kuifunga Simba

Naungana na Spika wa Bunge aliposema anaomba ushindi wa Yanga uchunguzwe kwani unamazingira ya kifisadiAnonymousnoreply@blogger.com