tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post4620634122283574729..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: shaggy atinga kijiji cha makumbusho ya wasukuma Bujora,asimikwa ubalozi wa kabila hilo, atumbuiza kirumbaMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-77984393594828973302011-06-28T23:17:50.757+03:002011-06-28T23:17:50.757+03:00Shaggy chifu wa Wasukuma!!!, ama kweli Wasukuma tu...Shaggy chifu wa Wasukuma!!!, ama kweli Wasukuma tumeishiwa. Jamii yetu imejengwa katika matabaka mbalimbali ambayo nguzo zake kuu ni mila na desturi. Tatizo kubwa ambalo linaikabili jamii yetu kwa sasa ni uhaba wa watu wenye fikra na hekima nzuri katika kupambanua mambo mbalimbali yanayo iathiri na yatakayo iadhiri jamii yetu katika kizazi kijacho. <br />Inanishangaza na kunisikitika sana ninapoona wazee wetu tunaowategemea kuzilinda na kuziendeleza hizi nguzo zetu kuu katika jamii wanapoanza kuzibomoa hasa pale pesa inapokuwa ndio mzizi wa utoaji wa maamuzi. Pomoja na kwamba Mwalimu Nyerere aliamua kufutilia mbali uongozi wa machifu katika jamii ya kitanzania. Nikiwa mmoja wa wajukuu wa aliyekuwa chifu wa Itilima, Marehemu Limbe Mwinula, inaniumiza sana ninapoona kuna watu kwa sasa wanajifanya ndio vinara katika maamuzi ya mila na desturi kwenye jamii yetu. waswahili wanasema, ashakumu si matusi na nisamehewe kama nimekosea, ni lini na wapi Mark Bomani amepewa haya madaraka ya kutuamualia maswala mazito kama haya. Kwanza, yuko pale kwa ajiri ya masilahi yake kama mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya serengeti breweries. Huyu Shaggy, Ninaamini kwanza hajui chochote juu ya historia, mila na desturi ya wasukuma, kama serengeti breweries wanataka wajulikane katika bidhaa zao(market exposure), inanisikitisha sana kuona wanafanya hivi kwa kupitia kwa wazee wetu ambao hawajui nini maana ya ''market economy'' katika dunia ya sasa iliyojaa ulaghai katika masoko ya bidhaa. Ama kweli, elimu bila fikira na hekima ni kazi bure.Ng'wanaMwamapalalahttps://www.blogger.com/profile/09785132648860803535noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-26248398632992449362011-06-28T07:18:30.631+03:002011-06-28T07:18:30.631+03:00you are right Money and Power rule! Hata mzungu uk...you are right Money and Power rule! Hata mzungu ukiwa na pesa au kitu anachokihitaji atakunyenyekea.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-16289100478404068022011-06-27T18:49:57.225+03:002011-06-27T18:49:57.225+03:00we mdau uliosema hayo ni maendeleo kweli??? Hivi m...we mdau uliosema hayo ni maendeleo kweli??? Hivi mandhani akitoka hapo anaenda kutangaza utamaduni wetu..nooo way. Yeye ilimradi kapewa mshiko wake..na kwanza hata Marekani hawajui kuwa Shaggy yupo TZ na kwanza kafulia. wanamziki wanaokuja bongo wote wachovu.Jaribuni kuchukua mtu kama Beyonce aje kuburudisha tuone itakuwa cipi na kiingilio kitakuwaje...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-31827069461577099942011-06-27T17:03:00.527+03:002011-06-27T17:03:00.527+03:00money and power rule the worldmoney and power rule the worldAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-59234786291227538102011-06-27T14:48:03.974+03:002011-06-27T14:48:03.974+03:00SAFI SANA HONGERENI MLIOFANIKISHA ,NIMAENDELEO MAK...SAFI SANA HONGERENI MLIOFANIKISHA ,NIMAENDELEO MAKUBWA SANA,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-67022472361086444632011-06-27T12:35:30.980+03:002011-06-27T12:35:30.980+03:00HUYO ANAESEMA UMASIKINI KITU KIBAYA UNA MAANA GANI...HUYO ANAESEMA UMASIKINI KITU KIBAYA UNA MAANA GANI KWANI KUNA UBAYA GANI SHAGY AKIENDA USUKUMANI HUJUI NDIO MOJA YA MAENDELEOAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-90459088507332921922011-06-27T10:58:58.992+03:002011-06-27T10:58:58.992+03:00Mdau wa monday 27 06:42:00 ASANTE sana umesomeka m...Mdau wa monday 27 06:42:00 ASANTE sana umesomeka mkuu.halafu swali kwa hawa waandaaji wa hizi BURUDANI mbona wanamuziki ni wengi nje mnakalia kuleta hao hao wa aina moja mnaboa sana.ebu amkeni!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-59440535610233830022011-06-27T07:35:57.384+03:002011-06-27T07:35:57.384+03:00Shaggy u rock woooooooooooooooooow. i love this gu...Shaggy u rock woooooooooooooooooow. i love this guy.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-24772789766790564022011-06-27T06:42:50.506+03:002011-06-27T06:42:50.506+03:00Umasikini ni kitu kibayaUmasikini ni kitu kibayaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-83123318991281647932011-06-27T05:05:26.410+03:002011-06-27T05:05:26.410+03:00Balozi wa Wasukuma, duh:-)! Toleho lolo mkaya mkin...Balozi wa Wasukuma, duh:-)! Toleho lolo mkaya mkingwa Shaggy, washika!Anonymousnoreply@blogger.com