tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post5478261399318582584..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: pongezi za uchagizi mkuu 2010 kutoka jumuiya ya watanzania ugirikiMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-80792959742093920062010-11-07T12:25:14.737+03:002010-11-07T12:25:14.737+03:00TATIZO KUBWA TULILO NALO BINDAMU NI KATIKA KUDHARA...TATIZO KUBWA TULILO NALO BINDAMU NI KATIKA KUDHARAULIANA MTANZANIA AKIWA NJE AA NDA YA NCHI NI MTANZANIA NA HUKUNA MWENYE HAKI YA KUSEMA HUYU HANA HAKI. MIMI USHAURI KWA RAISI NI KUBADIRISHA KATIBA NA KUIFANYA IKIUBALIKE KWA WATANZANIA WOTE ILI KUONDOA MATATIZO KATIKA CHAGUZI ZA MBELE ILI KUILINDA NCHI YETU KATIKA UTULIVU WA KUDUMU MILELE BADALA KUWEKA MATATIZO YANOYOWEZA KUHARIBU NCHI YETU AMBAYO INASIFA YA UTULIVU NJE NA NDANI. MFANO MZURI NI ZANZIBAR SHERIA IMETUNGWA NA CCM PAMOJA NA CUF. SIKU ZOTE HAKI HULETA MAPENZI NA MAENDELEO YA KUDUMU. HIVYO USHAURI WANGU MKUBWA RAISI WETU KIKWETE AWEKE HISTORIA KATIKA MAISHA YAKE YA AKHERA NA DUNIA KWA KUBADIRISHA KATIBA AMBAYO ITAWAJUMUISHA VYAMA VYOTE ILI HUKO TUENDEKO TUSIPATE MATATIZO AMENAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-52551352499081821512010-11-07T04:04:14.118+03:002010-11-07T04:04:14.118+03:00Anonymous wa kwanza, kwanza acha kupiga kelele kwa...Anonymous wa kwanza, kwanza acha kupiga kelele kwa kuandika kwa herufi kubwa, it is most annoying! Pili, acha upumbavu wa kutaka kuwachagulia watu sehemu ya kuishi. Wewe kama umeshindwa kutoka Tanzania ni shauri yako, usilete uzalendo feki wa kwa sababu umebaki Tanzania, wote waliondoka wana kasoro fulani. Na kama utumwa kumbuka ata Tanzania kulikuwa na utumwa. If you ask me, naweza kukuambia waliokuwa watumwa nchi hizi mambo yao poa kuliko waliokua watumwa Tanzania. At least huku hamna umeme wa mgao na maji ya dhiki.

Endeleza nchi, my foot? Nani amekupa madaraka ya kuwachagulia watu sehemu ya kuishi? Wewe hutoshi kuendeleza nchi? Rudi shule upate elimu kidogo itakusaidia kuchambua mambo kwa fikra na utulivu. Hiyo jumuiya ni ya Ugiriki, siyo Uturuki; go figure!Jaribuhttps://www.blogger.com/profile/05113154740661719755noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-86109555199388442292010-11-06T13:58:33.103+03:002010-11-06T13:58:33.103+03:00Upuuzi mtupu.
Na mkae hukohuko utumwani msirudi te...Upuuzi mtupu.
Na mkae hukohuko utumwani msirudi tena!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-57915674242658273262010-11-06T13:13:19.345+03:002010-11-06T13:13:19.345+03:00We fanya unachofanya uko Ugiriki, mambo ya huku tu...We fanya unachofanya uko Ugiriki, mambo ya huku tuachie sisi. Hata uchaguzi wenyewe hujui ulifanyika lini.

mambo ya kulinganisha uchaguzi wetu na matatizo ya George Bush ni kupoteza mwelekeo. Kasoro za hapa zisifananishwe na za sehemu nyingne, tuzitatue sisi WaTZ wenyewe!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-76729935921521258002010-11-06T12:13:26.360+03:002010-11-06T12:13:26.360+03:00NA HAO WANAJIDAI KUISHI HUKO WASHINGTON NA KUFANAY...NA HAO WANAJIDAI KUISHI HUKO WASHINGTON NA KUFANAY MAANDAMANO YA KUPINGA MATOKEO HAO NI WAKUKEMEWA KABSAA...WAO WANACHOCHEA KWA VILE WAO WAMEJIONA WAKO NJE YA TANZANIA HATA MATATIZO YAKITOKEA HAYATAWAHUSU NI WAONGO NA NI WANAFIKI TUNATAKIWA KUWAOGOPA KAMA UKOMA....

WAO NI WATUMWA BABU ZAO WALIKATAA KUCHUKULIWA KUPELEKWA NCHI ZA WATU LAKIN WAO WAMEUKIMBILIA..PAMOJA NA HAYO WANAJIDAI WANA UCHUNGU NA NCHII MBONA HAWARUDI MAKWAO WAKAJENGA NCHI??? MBONA HAWACHANGISHANI WAKAJENGA MAHOSPITAL AU SHULE/...AU HATA KULETA WAHISANI AU VIFAA VYA SHULE....WANAJIDAI KUWATETEA WENZAO WA TZ KWA KUCHOCHEA CHUKI ZA KUANDAMANA BADALA KUWATETEA WENZAO WA TZ KWA KUWALETEA MAENDELEO.....HAO NI WANAFIKI...HONGERENI JUMUIYA YA UTURUKI KWA KULIONA NA KUKUBALIANA NA MATOKEO...Anonymousnoreply@blogger.com