tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post5596196846425988338..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: mafisadi kibaoMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-91325632751889578082008-01-24T19:18:00.000+03:002008-01-24T19:18:00.000+03:00aisee wewe Joram mie nakuunga mkono kabsaa maana h...aisee wewe Joram mie nakuunga mkono kabsaa maana hata mie ilipokaribia tuu kufika milioni tatu ikawa yaniletea error pale kwa kuhesabia watu...next time nikafunga na kufungua si ndio ikaniletea 30000001 3000002 so hata mie nawashangaaa hao waliotuma picha with those numbers

duh kweli ufisadi hauko bot na ccm tuu

ila michu alishasema toka mwanzo kuwa uamuzi wa mwisho ni wa majaji...so tukubali kushindwa na michu na rehema plus majaji wajiminiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-79497303277513208402008-01-24T16:33:00.000+03:002008-01-24T16:33:00.000+03:00Sidhani kama ni mafisadi bwana misupu, naona zoezi...Sidhani kama ni mafisadi bwana misupu, naona zoezi halikaa poa, nimeshuhudia watu wanne no zikigongana, yaani unakuta wote inasomeka no moja.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-39138766314469261002008-01-24T16:20:00.000+03:002008-01-24T16:20:00.000+03:00Naamini kabisa kuwa haki itatendeka katika kumtang...Naamini kabisa kuwa haki itatendeka katika kumtangaza mshindi!! Nilikuwa nimekalia PC yenye jina hlavkova-nb, hata extremetracking.com ya blog yako hii inaweza kuthibitisha binadamu aliyekuwa hapo kipindi hicho! Actually niliisubiria kwa hamu sana hii tarakimu 0003000000.

Revd. EVMAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-57162726886701124622008-01-24T16:14:00.000+03:002008-01-24T16:14:00.000+03:00NIna hakika aslimia mia moja huyo mdau wa million ...NIna hakika aslimia mia moja huyo mdau wa million tatu hayupo kwa hiyo number. Ilikuwa yangu lazima, unless muujiza utokee! Maana niligungua kwenye hiyo number nikakuta #error! Kwa hiyo kama counter iko sawa sawa, basi lazima hiyo error niwe mimi mwenyewe!. Number zinazofuata zote nilizipata, yaani 3000001, 3000,002. Ila hata hivyo nawashangaa sana mafisadi wenye number 3000,002 hapo chini! Na sijui wataalaam wa Michuzi watawezaje kupambana nao kama ni hivyo!

Joram MsafiriAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-75642493346037702732008-01-24T16:13:00.000+03:002008-01-24T16:13:00.000+03:00BONGO BWANA WATU KWENYE DILI KWA KUCHANGAMKIA NIME...BONGO BWANA WATU KWENYE DILI KWA KUCHANGAMKIA NIMEWAVULIA KOFIA, ndio maana kina 'br lali' hawakukawiza na hatopatikana mtu na hatia
mr c.TAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-36133508955659671682008-01-24T16:07:00.000+03:002008-01-24T16:07:00.000+03:00Ka Michu, mimi nakusubiria tu hapa. Naomba tuwasil...Ka Michu, mimi nakusubiria tu hapa. Naomba tuwasiliane kwa njia ya barua pepe ili kunipatia haki yangu. Ahsante.

SteveD.Anonymousnoreply@blogger.com