tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post627503111650317197..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: ming'oko...MICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-40566634790932141042010-10-22T23:42:12.627+03:002010-10-22T23:42:12.627+03:00ankal hukuona upupu? hapa menyu haijakamilika! kwa...ankal hukuona upupu? hapa menyu haijakamilika! kwa wale walionielewa! he he heeee!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-72672899889006897132010-10-22T16:49:40.434+03:002010-10-22T16:49:40.434+03:00Michuzi this is the best artical it reminds me kwe...Michuzi this is the best artical it reminds me kwetu Mnyambe na vinyumbu kwetu tunaita luvale.

Kuna mtu yeyote ambae anaweza kujua botanical name ya min'goko na vinyumbu?

It will be nice to know what benefits they have.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-1055955224427094672010-10-22T12:30:12.898+03:002010-10-22T12:30:12.898+03:00Nakumbuka miaka ya tisini nikiwa Mkonge sekondari,...Nakumbuka miaka ya tisini nikiwa Mkonge sekondari, nimetokea Mbinga ambako kuna mboga maarufu kama hiyo inayoitwa KIKANDI. Michuzi endelea kutuletea vitu vya asili kama hivyo ili tukumbuke jadi yetu! big up michuzi!simonhttp://simonkomba28@yahoo.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-28315410129890540922010-10-22T08:07:05.398+03:002010-10-22T08:07:05.398+03:00Jamani Ankal Michuzi vipi haya mambo??? Hata kanun...Jamani Ankal Michuzi vipi haya mambo??? Hata kanuni ndogo narahisi tu za uandishi huzingatii?!?!!! Herufi kubwa mwanzo wa sentensi na kwenye majina ya watu au mikoa!!!???Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-31384102484561188862010-10-21T21:13:32.920+03:002010-10-21T21:13:32.920+03:00umekosea kuandika mtwara! sio mtwara bali Ntwaraumekosea kuandika mtwara! sio mtwara bali NtwaraAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-77259345446728439992010-10-21T17:50:40.397+03:002010-10-21T17:50:40.397+03:00Michuzi, yaani hapa umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaali...Michuzi, yaani hapa umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaali, ming'oko kwa chumvi na pilipili, hii ndio candy-cane kijijini kwetu. Haipandwi mashambani bali ni kazi mzuri ya maulana, waliojaribu kuipanda walishindwa kwani inasadikika kwamba ming'oko uhama kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Wachimbaji wa ming'oko uchimba kwa kubahatisha wakiongozwa na machimbo ya nguruwe mwitu ambao ndio walaji na majiolojist wakubwa wa ming'oko, vile vile wachimbaji ugundua kuwapo kwa ming'oko kwa kutafuta aina fulani ya mimea (mikopo)inayojitokeza sehemu ambayo ming'oko ipo bila kuchimbwa kwa miaka kadhaaKulembelaChaninoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-82736196422142901122010-10-21T16:37:04.252+03:002010-10-21T16:37:04.252+03:00ukila hii ya kuchoma wakati wa kwenda kustarehe la...ukila hii ya kuchoma wakati wa kwenda kustarehe lazima uende na feni !!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-26850190467792150112010-10-21T14:48:22.116+03:002010-10-21T14:48:22.116+03:00nilisoma shule ya msingi ya Msinjaili Lindi miaka ...nilisoma shule ya msingi ya Msinjaili Lindi miaka ya themanini. Asili yangu ni nyanda za juu kusini
Asante kwa kunikumbusha Lindi. I miss you Lindi. It was fun. Kutoka kula vinyumbu mpaka kula ming'oko hahahAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-45302092102674702242010-10-21T14:47:45.811+03:002010-10-21T14:47:45.811+03:00aise hii picha inanikumbusha Pwani kule Maneromang...aise hii picha inanikumbusha Pwani kule Maneromango,Boga,Msanga,Kibuta malumbo kwa akina tambalizeni kule ni chakula tosha wanaita Mbao na shughuli ya kuchimba inawahusu sana wasichana na wanawake wazee.wenyewe wanakula na chachandu yaani pili pili na limao. Asante kwa kunikumbusha mbali lakini huku Arusha akuna vitu kama hivyokombahttp://komba35@hotmail.comnoreply@blogger.com