tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post7447310333332582278..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: Sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini Dar es salaamMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-33542224341000049542014-05-04T05:31:16.557+03:002014-05-04T05:31:16.557+03:00Mdau Ugahaibuni, hawa wanaopita na kusema mshahara...Mdau Ugahaibuni, hawa wanaopita na kusema mshahara bado shemeji ni walimu. Mke wa Raisi mama Salma Kikwete ni mwalimu kwa taaluma. KWa hiyo walimu wote wanamwona Raisi JM Kikwete kama Shemeji yao na kusema kuwa bado hawajalipwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-34716672294999962442014-05-03T06:02:25.332+03:002014-05-03T06:02:25.332+03:00Hivi hii kauli ya kusema mshahara bado shemeji ina...Hivi hii kauli ya kusema mshahara bado shemeji inamaana gani? <br /><br />Madau<br />UghaibuniAnonymousnoreply@blogger.com