tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post7664532401425129962..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: panga la jkMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger51125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-6267792907353830192008-02-09T17:15:00.000+03:002008-02-09T17:15:00.000+03:00mimi naona yote hayo mashtaka yote tupeleke kwa ye...mimi naona yote hayo mashtaka yote tupeleke kwa yesu yeye ndiye anayeona yote hayo yalio mwangani na gizani yote atayadhihirisha damu ya yesu haikumwagika bure ni ili tuokolewe hivyo tuzidi kulia na yesu atashuka na kutembea na nyayo zao kila watakayotua ,watakapokanyaga mafisadi, damu ya yesu itawaunguza tu malaika gabriel na michael watawashukia na kutuonyesha miracles kwa hiyo jakaya kikwete wala hatubabaishi naye tumeshamtumia yesu akazungumze naye hivyo asubirie mishale ya damu ya yesu manake kama anatudanganya ajue sisi tuko na yesu
aminaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-78328360199405810802008-01-17T04:48:00.000+03:002008-01-17T04:48:00.000+03:00Bw.masupu hii ni kati yangu mimi na wewe,najua hu...Bw.masupu hii ni kati yangu mimi na wewe,najua hutochapisha hii,lakini naomba kuuliza unamaanisha aelekeze wapi PANGA au JANDO??
manake huyo bwana twamjua sisi(temeke,kinondoni)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-81226757719048753002008-01-13T06:30:00.000+03:002008-01-13T06:30:00.000+03:00Daah, JK kwa usanii ndio mwenyewe, hamna panga wal...Daah, JK kwa usanii ndio mwenyewe, hamna panga wala nini...huu ni usanii wa kisiasa tu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-3197603774175628992008-01-12T14:04:00.000+03:002008-01-12T14:04:00.000+03:00Bw. Michuzi hili panga likitoka hapa lielekezwe kw...Bw. Michuzi hili panga likitoka hapa lielekezwe kwa wale WAONGO yaani WAPINZANI hasa Dr. SLAA kwa kuwa UONGO wao ndio uliosababisha hizi siri zote zikafichuka na hatimaye kumkosesha kazi BALALI. Hivi huyu Dr. Slaa hajua kuwa Balali ana mke na watoto wanaomtegemea? Asa alivomkosesha kazi anategemea mke na watoto wake Balali watakula nini?

Huyu MUONGO ni lazima awajibishwe ikibidi hata kwa kumwagiwa tindikali mwili mzima ili liwe fundisho kwa wengine wenye tabia ya kusema uongo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-80964937738348801562008-01-12T03:33:00.000+03:002008-01-12T03:33:00.000+03:00They say u can lead horse to the water but you can...They say u can lead horse to the water but you cant get them to drink it, he sure has shown resilience to the ungrateful Tanzanians, I will remember his reign by the history on our economic growth which has never been as high before since independence but disgustingly we let the real Wafisadi sit on it, and blame to the dignified and hardworking one? But hey time will soon tell how down hill our economy will go and then we can have a real thing to blame on , to not even be able to afford a little maharage, and fuel prices keeps on souring high with no rain in sight , then will think about how unfair to Ballali people have been. To be honest that’s not even an office to worth his time, it’s like a market – you worth more, enjoy your retirement, I dare to say a proper office, and I salute you!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-79798544244365243112008-01-11T23:59:00.000+03:002008-01-11T23:59:00.000+03:00Michuzi vipi umeogopa kuweka maoni yangu? nini maa...Michuzi vipi umeogopa kuweka maoni yangu? nini maana ya demokrasia?au unaogopa tindikali,mjumbe hauwawi wewe post watanzania wasome.kama vipi funga blog, au ndio walewale?
Dj.Sukali,USA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-17678048409644789082008-01-11T23:47:00.000+03:002008-01-11T23:47:00.000+03:00Wewe anony wa 7:42:00AM EAT unaposema kwamba Rais ...Wewe anony wa 7:42:00AM EAT unaposema kwamba Rais hawezi kufanya kila kitu peke yake na hao wasaidizi wabovu anaowateua kumwakilisha ni wewe unayemtuma? Na wanapofanya ufisadi wewe ndiye unayemtuma kwamba amfukuze mtu mmoja na kuwaacha wengine wakipeta (hasa huyu naibu waziri aliyepandishwa cheo)?

Sasa kama wanafuja pesa na kuwaacha wewe unategemea nani amuamrishe kuwafukuza? Wacha usingizi wewe au we ni mtoto wa balali nini? Usituletee wenzie tushachoka na hili li-nchi la kizezeta, ebo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-73122531040790972722008-01-11T21:07:00.000+03:002008-01-11T21:07:00.000+03:00HAAA HAAAA SUBIRINI MTASIKIA BALALI KAFA, HUYU MTU...HAAA HAAAA SUBIRINI MTASIKIA BALALI KAFA, HUYU MTU YUPO HOSPITAL GANI JAMANI!! CHANGA LA MACHO HILO JAMAA KESHAVUTA LONGTIME SUBIRINI MTAAMBIWA SAA HIVI! HAKUNA KESI HAPO WATANZANIA WENZANGU!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-61705913692311625172008-01-11T18:23:00.000+03:002008-01-11T18:23:00.000+03:00Anon January 11, 9:14Bravo...haya yote yasingejuli...Anon January 11, 9:14
Bravo...haya yote yasingejulikana kama sio wabunge waongo akina Dr. Slaa.
Hivi mnafikiri vile vitenge na kofia na t-shirts na MINUSO iliyoweza kumfanya Mh. JK ashinde kwa kishondo mwaka 2005 zilitoka wapi??Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-53476338104339035702008-01-11T09:14:00.000+03:002008-01-11T09:14:00.000+03:00KWANINI HATUWAPONGEZI WAONGO AKINA SLAA? HAWA NI W...KWANINI HATUWAPONGEZI WAONGO AKINA SLAA? HAWA NI WAONGO MASHUJAA NDIO WANAOOKOWA HAYO MAPESA KWA UONGO WAO DHIDI YA CCM WAKWELI WA UONGO.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-28021127919870753822008-01-11T07:46:00.000+03:002008-01-11T07:46:00.000+03:00pia aangalie sana maamuzi yote anayoyafanya, kwa ...pia aangalie sana maamuzi yote anayoyafanya, kwa umuhimu awa taifa, ajadili matatizo yanaowasibu watu anaowafahamu kwa kina, na kutafuta ufumbuzi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-64721792965410027472008-01-11T07:42:00.000+03:002008-01-11T07:42:00.000+03:00Nawashangaa wanaodai Kikwete hajafanya kitu. Mimi ...Nawashangaa wanaodai Kikwete hajafanya kitu. Mimi nampongeza sana rais wetu kwani kwa mahali alipo na cheo chake si rahisi kumfatilia kila mwananchi personally, hata nyie mnaoongelea rushwa na mengineyo mkiingia madarakani hamtaweza kucontrol hizo rushwa kwani wote tuna asili ya umasikini na mtataka kwanza mnufaishe familia zetu. Kinachotakiwa ni kwa watanzania wote kila mmoja kwa wakati wake kuzuia hayo matendo maovu yanayohatarisha utendaji bora ila nina uhakika rais hawezi kujigawa kila kona asimamie kila jambo kwani ana majukumu kibao.
HONGERA JKAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-83568276039995015762008-01-11T05:12:00.000+03:002008-01-11T05:12:00.000+03:00Asante sana Michuzi kwa kuleta hoja hii. Mimi bina...Asante sana Michuzi kwa kuleta hoja hii. Mimi binafsi nadhani JK aelekee kwenye shirika la ndege la tanzania- ATC. Kama itakumbukwa, tayari bodi ya ATC ishatoa taarifa yake juu ya kile kilichopelekea taifa kukumbwa na aibu baada ya mahujaji kushindwa kwenda kuhiji. Sasa JK, anasubiri nini kumwadhibu mheshimiwa balozi wa zamani Saudi Arabia- Mstafa Nyang'anyi?!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-28191641518034067122008-01-11T02:42:00.000+03:002008-01-11T02:42:00.000+03:00Panga butu hilo...halina ukali,ni maneno tuu yaani...Panga butu hilo...halina ukali,ni maneno tuu yaani 'debe kali hulia zaidi'!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-68437483433874362008-01-11T01:16:00.000+03:002008-01-11T01:16:00.000+03:00Hivi mithupu...rais JK anaweza akaacess hizi comme...Hivi mithupu...rais JK anaweza akaacess hizi comment zetu....well atazipuuza ila zinatoa picha halisi na zinaonyesha kabisa kuwa watu wamemstukia hamna cha panga wala machete hapo ni viini macho tuu...!!

Mdau albuquerqueAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-25598990488462138812008-01-11T00:45:00.000+03:002008-01-11T00:45:00.000+03:00michuzi na comment usiibane, nadhani pia huyo mp...michuzi na comment usiibane, nadhani pia huyo mpiga picha wake, ambadili maana baadhi ya watu wanashangaa na mambo mengine, aajiri mpiga picha mpya. Wewe michuzi ni kiboko sana, hongera sana michuzi, unastahili pongezi toka kwa watanzania wote duniani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-37039230567857331852008-01-10T22:45:00.000+03:002008-01-10T22:45:00.000+03:00michuzi nadhani sasa raisi, aanze kufanya uchungu...michuzi nadhani sasa raisi, aanze kufanya uchunguzi kwa baadhi ya balozi za nchi za ulaya. Kwani wanajinufaisha uko ulaya.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-89571003313122511002008-01-10T22:21:00.000+03:002008-01-10T22:21:00.000+03:00MI NADHANI JK ANA MAADUI WENGI CCM..HILO ANAJUA WA...MI NADHANI JK ANA MAADUI WENGI CCM..HILO ANAJUA WALE WALIOKOSA HICHO KING'ANG'ANYIRO NA SASA WANATOA MABOMU YOTE NA UOZO WA CCM..ATA HIVYO WANGEPATA MCHEZO UNGEKUWA ULEULE..TZ IS MESSED UP..TOO MUCH CORRUPTION..SASA BADO WATU MIL 40 TUNAIMBA WIMBO WA POVERTY MPAKA LINI?TUNA WASOMI WENGI LAKINI HAWAJUI JINSI YA KUTUMIA ELIMU YAO MPAKA WAWE EMPLOYED ..WALIOPO MADARAKANI HAWATAKI KUTOKA AU KUKUBALI INNOVATIVE IDEAS(HILI TATIZO LA AFRICA)....!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-54203032830432132732008-01-10T22:00:00.000+03:002008-01-10T22:00:00.000+03:00Panga lielekezwe IKULU na BUNGENI.Sababu.1:Aliyese...Panga lielekezwe IKULU na BUNGENI.
Sababu.
1:Aliyesema Wapinzani/watu wasijifanye Polisi,wapelelezi,mawakili na mahakimu inaonekana ana uhusiano wa karibu sana na Balali.Panga limkate.

2:Waziri Mkuu yeye alitoa matusi kabisa dhidi ya Dr.Slaa bungeni akimuita mwongo na anaghusi nyaraka toka mtandaoni.Nae Panga limpitie.Inaonekana hajui lolote na anawaonea wapinzani.

3:Spika Sita nae panga limpite.Huyu yeye kwa jeuri alimtishia Slaa wa watu akitaka kumfikisha mahakamani eti kisa kafoji nyaraka.Slaa wa watu akaamua kuja kushtaki kwa sisi wananchi wake.Sasa kama Spika hawezi kusikiliza mashtaka ya mbunge wake anafanya nini hapo na lijijoho lake.Eti Speed and Standard hahahahahahaha LoL
Dr.Slaa 2010 gombea URAIS una kura yangu.
© MajitaMajitahttps://www.blogger.com/profile/09121165606228111703noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-70472467134892543602008-01-10T21:29:00.000+03:002008-01-10T21:29:00.000+03:00HAPO TUMEDANGANYWA NA HIO ISSUE YA BILALI KUFUKUZW...HAPO TUMEDANGANYWA NA HIO ISSUE YA BILALI KUFUKUZWA.HIZO HELA ZILIZOIBWA ZOTE BILALI SIO MPUMBAVU KUCHEZA DILI PEKE YAKE.WOTE HAO MPAKA WAKINA JK KUNDI MOJA BILALI KATUMIKA KAMA CHAMBO ANAENDA KUPELEKWA KUFANYA KAZI UBALOZI WOWOTE NJE YA NCHI MAISHA YANAENDELEA.KUMFUKUZA KAZI WAKATI TAIFA LIMESHAKULA HASARA HAINA MAANA,TUNACHOTAKA KUJUA NU HATUA GANI ZITACHUKULIA.WANGE ANZA KWA KUFREEZE ACCOUNT ZAKE ZOTE KWANZA ZA NJE NA NDANI YA NCHI.HELA ZA WALALA HOI ZIRUDISHWE ZITUMIKE KUJENGEA VISIMA VYA MAJI NA KUBVORESHA MAISHA YA RAIA.MNATAKA KUCHOTA KIASI GANI CHA FEDHA AMBACHO MTARIZIKA NAZO HILI MUWEZA KUANZA KUWASAIDIA RAIA? HAYO NDIO YANGU SIJUI KAMA MICHUZI ATAWEKA.NA MICHUZI UWAAMBIE HIO SERIKALI WAWE WANAKUJA HUMU KUSOMA MAONI YA WATU.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-41580463015097507382008-01-10T20:59:00.000+03:002008-01-10T20:59:00.000+03:00WADAU, MIMI NAMSHAURI JK KUJISAFISHA MWENYEWE KUTO...WADAU, MIMI NAMSHAURI JK KUJISAFISHA MWENYEWE KUTOKANA NA KAULI NYINGI ALIZOZITOWA KWAWANANCHI NA ZINAZOGUSA WENGI. KWA KUANZIA AANZE KUZIFANYIA KAZI KAULI NA MAAGIZO YAKE YOTE ALIYOYATOWA WAKATI WA KUZITEMBELEA WIZARA ALIPOINGIA MADARAKANI. KULE KUNA MAAGIZO MUHIMU MENGI ALIYATOWA KWA MAWAZIRI NA WATENDAJI WAKE AMBAYO BADO HAYAJATEKELEZEKA. SIHITAJI KUYATAJA KWANI MENGINE HATA YEYE MWENYEWE ALISEMA YANAMKERA SANA. KUNA SIKU PIA ALITAMKA ANAWAFAHAMU WALA RUSHWA WAKUBWA NA ANAWATAKA WAJISAHIHISHE. SASA AWE MU WAZI KWETU JE, WAMESHAJISAHIHISHA? NI VYEMA MH JK AKATAMBUWA KUWA MTU MWIZI NI MWIZI TU NA HAWEZI KUBADILIKA KAMWE. NINGEMUOMBA SANA MH JK AANZE KUZIFANYIA KAZI KWANZA KAULI ZAKE ZOTE ALIZOZITOWA HADHARANI AMBAZO NI NGUZO MUHIMU KWAKE KUJIJENGEA HESHIMA KWA WANANCHI NA SI KUACHA HALI KAMA ILIVYO AMBAPO WACHACHE WANAMKEBEI KWA KUMWAMBIA ANA POROJO NYINGI KULIKO MATENDO. ASINGOJE MPAKA WAPINZANI WALIPUWE NA KUSHINIKIZA KUFANYA KAZI WAKATI HATA NAYE ANAFAHAMU KASORO HIZO.JK TAMANI KUFA KISHUJAA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI WALIO WENGI NYUMA YAKO. MDAU TOKA CANADA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-14967605349414850812008-01-10T19:43:00.000+03:002008-01-10T19:43:00.000+03:00HILI NI PANGA GANI LINALOFYEKA MSITU NA KUACHA MIT...HILI NI PANGA GANI LINALOFYEKA MSITU NA KUACHA MITI MINGINE IMESIMAMA? HIVI NI KWA NINI HUYO NAIBU GAVANA AMEACHWA WAKATI WALIKUWA WAKIPIKIKA CHUNGU KIMOJA NA HUYO GAVANA ALIYEFYEKWA? KUSEMA KWELI MIMI SIONI KWA NINI AMEACHWA APETE WAKATI YEYE NDIYE ALIYEKUWA MSHAURI WAKO WA KARIBU!

HATA HIVYO PANGA LIELEKEZWE NSSF NA WASHIRIKA WAKE KWA SABABU ZIFUATAZO:
Mnamo tarehe 7/7/2007 Mkurugenzi Mkuu wa Shirirka la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Ramathan Dau alitiliana saini na Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKURU), kujenga magorofa kwa ajili ya wafanyakazi wao, mradi ambao utagharimu mabilioni ya shilingi. Hilo tukio lilifanyika huku baadhi ya wastaafu wakilidai shirika hilo mafao yao bila mafanikio. Wapo baadhi ya wastaafu ambao wamezungushwa hadi mauti yamewakuta kabla hawajalipwa stahili zao za mafao.

Mbali na hilo tukio shirika hilo, pamoja na mashirika mwenza ya PPF na NPF yamekuwa yakitumia pesa za wanachama kujenga vitega uchumi mbalimbali hasa kuporomosha majengo makubwa ya kupangisha. Ni dhahiri kwamba wapangishaji wa majengo haya hulipa kodi si haba, pesa ambazo huyaingizia mashirika haya mapato makubwa sana.
Binafsi sina ugomvi na hilo kwa sababu huo ni mojawapo ya ujasiriamali tunaoimbiwa kila uchao. Dukuduku yangu ni kwamba; je, pesa zipatikanazo kutokana na upangishwaji wa haya mahekalu zinawanufaishaje wastaafu ambao wengi wao husota sana kabla ya kulipwa mafao yao? Kuna kiasi chochote cha faida ambacho hugawiwa kwa wanachama wa Mashirika haya?

Nasema hivyo kwa sababu hii ni biashara ambayo hutumia pesa za wastaafu na hivyo basi ni busara kwamba faida inayopatikana iwanufaishe wenye pesa zao na si vinginevyo. Tuchukulie kwa mfano mtu anapotunza fedha benki tunategemera kwamba hizi fedha zitakopeshwa kwa wafanyabiashara kwa riba na hiyo riba hugawanywa sawia kwa wateja wote wa benki husika. Kwa NSSF, PPF na NPF na mashirika mengine ya hifadhi ya jamii kinyume chake ndio ukweli.Wanachama hukamuliwa pesa kila mwezi kisha pesa hizo hutumiwa kujenga magorofa ya kupangisha ambayo hayana faida yoyote kwao bila ridhaa yao.Je, wahusika hamuoni kwamba huu ni ufujaji na utumiaji wa pesa za wanachama kwa manufaa yenu binafsi.

Imefikia hatua hadi hizi pesa zinakopeshwa kwa wajasiriamali uchwara ambao hatufahamishwi kiasi cha riba wanachotozwa. Ndio. Kama ni wajasiriamali halisi kwa nini wasiende kukopa benki ambapo riba zake ziko wazi kuliko kukimbilia kwenye hizi benki bubu sizisokuwa na mwenyewe wala usajiri? Ni bora wanachama wakawa na kauli juu ya matumizi ya pesa zao ikiwa ni pamoja na kufaidi faida itokanayo na ukopeshwaji wa pesa zao kwa “wajasiriamali” pamoja na kodi ya upangishaji wa haya mahekalu yayojengwa kutokana na michango yao. Pili, ningependa kufahamu kama faida itokanayo na biashara hizi huwanufaishaje wanachama wa mifuko hii, yaani NSSF, PPF na NPF.Labda faida ipo ila kutokana na kutokujua kwangu siifahamu barabara. Naomba kama kuna mdau ajuaye namna wastaafu (au wachangiaji wa hii michango kwa ujumla wao) wanavyonufaika na faida itokanayo na upangishaji wa haya mahekalu anifahamishe nipate kuelewa.

Mdau.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-14269741707196362672008-01-10T19:41:00.000+03:002008-01-10T19:41:00.000+03:00Kwanza JK alinoe hilo panga na alielekeze kwa Rich...Kwanza JK alinoe hilo panga na alielekeze kwa Richard L... wa Richmod. Hapo nitampa tano na kura yangu 2010.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-44870447363493197862008-01-10T19:25:00.000+03:002008-01-10T19:25:00.000+03:00Jamani watanzania mbona mmelala namna hiyo?? Hivi ...Jamani watanzania mbona mmelala namna hiyo?? Hivi kweli Jk anaweza akamtimua kazi Gavana ambaye aliidhinisha kutoa mamilioni ya pesa kwa ajili ya kampeni zake wakati anawania uraisi??

Sasa ngoja niwaambieni.... Ukweli ni huu hapa....

Balali alishafariki siku mbili zilizopita kabla ya Jk hajatangaza kumtimua kazi, na kama mnabisha basi subirini si muda mrefu sana mtasikia Balali amekufa,, JK alichofanya ni kiini macho tu kwa WADANGANYIKA an samahani WATANGANYIKA kwa kutaka kurejesha imani kwa WATANGANYIKA maana asilimia kubwa ya watu wameshachoka na mwendendo mzima wa serikari yake.

Ninasema hivi kwa uhakika kabisa na kama mnabisha hebu niambieni Balali yupo hospital gani, na ugonjwa wake ni upi, na kwa nini taarifa za ugonjwa wake zinafichwa sana?

Michuzi usiibanie hiiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-42838937665494892982008-01-10T19:20:00.001+03:002008-01-10T19:20:00.001+03:00Panga? Balali yupo kizimbani?Panga? Balali yupo kizimbani?Anonymousnoreply@blogger.com