tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post8565294780259853815..comments2024-03-28T18:04:17.640+03:00Comments on MICHUZI BLOG: pongezi toka indiaMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger24125tag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-76783091149308066652008-02-08T14:01:00.000+03:002008-02-08T14:01:00.000+03:00eeh..yani wabongo,hamna dogo,mmezidi jamani kama h...eeh..yani wabongo,hamna dogo,mmezidi jamani kama hamtaki kuisoma hotuba yake si muache?mnachonga kama sio Mtanzania mwenzenu vile..mmesahau Watanzania wote ni ndugu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-81383760381297191272008-02-07T22:46:00.000+03:002008-02-07T22:46:00.000+03:00wewe bwana hatuendi hivyo,kama wataka ujulikane wh...wewe bwana hatuendi hivyo,kama wataka ujulikane who you are na vitu kama hivyo tafuta njia nyingine sio kwa kutuboa na speech lako yaani umenikera wewe mtu hivi wasoma kweli huko uliko?waonekana mtu mzimaaa lakini umedumaa nini tatizo?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-7600712563836230712008-02-07T22:44:00.000+03:002008-02-07T22:44:00.000+03:00jamani jamani nyie watu mwadiriki kumtusi hivi huy...jamani jamani nyie watu mwadiriki kumtusi hivi huyu kaka wa watu mjue labda ndio kikwete wenu wa bidae??!!mtakuja kumbuka matusi na kejeli mlizompa mjue eti kashati ka elfu tatu (kama ni that expensive), mie nasave hii page kwenye email yangu akiwa raisi nije muonyesha anipe cheo na mie maana naona na yeye ndio anajitahidi kuanza tafuta kujulikana kwa njia hiyoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-83521819406529201422008-02-07T22:42:00.000+03:002008-02-07T22:42:00.000+03:00who the hell do u think you are?au ndio umeambiwa ...who the hell do u think you are?au ndio umeambiwa ukianza hivyoo nawe utafikia stage za uccm at higher stages?? shwenzy taipuuuu wee subiria watoto wa wenzio wenye majina makubwa wapewe vyeo then ndio na wewe wafikirie ka waweza fit kwenye kazi ya ufagia ofisi za hiyo sisiemu yako wanaoji rich mondisha mifuko yao kwanzaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-41699812176422499362008-02-06T00:12:00.000+03:002008-02-06T00:12:00.000+03:00MH! KWANI WEWE NI NANI? YAANI BADO SIELEWI...HIVI...MH! KWANI WEWE NI NANI?
YAANI BADO SIELEWI...HIVI WEWE NANIIIII? KILOBOTO, CHAWA, MZEE JONGO, TAMBALA, CHENGA...KAMA MSANII VILEEEE
KWANI WEWE NI NANI WEWEEEE MBONA HUJIBUUUUUU?

fsyuuuuuuuuuuuuuu )sonyo hiloooo)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-31958233099268637852008-02-05T18:22:00.000+03:002008-02-05T18:22:00.000+03:00jamani nyie wabongo vinawaumeni nn? mwenzenu katoa...jamani nyie wabongo vinawaumeni nn? mwenzenu katoa hutuba je nyie za kweni zikuwapi !!!!! wabongo bwana uswaili amuachi. tuacheni tabia za majunguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-92102797880616710442008-02-05T02:48:00.000+03:002008-02-05T02:48:00.000+03:00wabongo hamna dogo jamani, kama aliamua kujieleza ...wabongo hamna dogo jamani, kama aliamua kujieleza mwacheni, na pili bora aweke ujumbe kwa michuzi baadhi ya balozi uko ulaya hazina huduma nzuri kwa wananchi, haswa uko america, sijui kikwete anapohamisha watu, anafanyaga uchunguzi, bora mwenzenu kajiwekea kwa michuzi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-62565133118644336812008-02-04T23:02:00.000+03:002008-02-04T23:02:00.000+03:00Huyu mtoto wa Mwalimu Kange naye. Wewe mtoto unata...Huyu mtoto wa Mwalimu Kange naye. Wewe mtoto unataka sifa tu ya kujipendekeza kwa JK. Vipi mwalimu Kange yupo wapi siku hizi? Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-62570850568077159252008-02-04T23:00:00.000+03:002008-02-04T23:00:00.000+03:00hivi wewe hujaona yaliyompata mwenzio Chibiliti ?h...hivi wewe hujaona yaliyompata mwenzio Chibiliti ?
haya we weka picha yako tu humu ndani
unawatafuta watu uchokozi
mmmmmmmmmhhAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-63744250115705115992008-02-04T22:48:00.000+03:002008-02-04T22:48:00.000+03:00Too much maelezo, mwenyekiti na hawo wenzio wako ...Too much maelezo, mwenyekiti na hawo wenzio wako wapi? Ungeweka picha ya pamoja.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-20079212335152487322008-02-04T21:18:00.000+03:002008-02-04T21:18:00.000+03:00i have never seen such a stupid guy in my entire l...i have never seen such a stupid guy in my entire life! Unadhani kujikomba komba kwa rais ndo na wewe utapata kaulaji? Hivi unasoma nini huko halafu unaonekana huelewi.. Siku nyingine reserve mipongezi yako! UMENIBOA SANA!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-10903086323430807482008-02-04T14:00:00.000+03:002008-02-04T14:00:00.000+03:00Huyo India atakuwa anasomea zile digrii za sanaa z...Huyo India atakuwa anasomea zile digrii za sanaa zenye mamneno mengi angekuwa anasomea digrii kali zile za sayansi asingekuwa na muda wa kuwaza na kuandika hayo maneno.

Halafu mhurumieni si mnaona kavaa shati la kitenge la shilingi Elfu tatu kwenye maduka Manzese.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-1355315544292378982008-02-04T11:17:00.000+03:002008-02-04T11:17:00.000+03:00hiyo kozi ndio kama BBA?anasomea shahada ya kwanza...hiyo kozi ndio kama BBA?anasomea shahada ya kwanza mwenyewe!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-76579660986905828282008-02-04T09:16:00.000+03:002008-02-04T09:16:00.000+03:00Hawa watu wa namna hii ndio waliojaa serikalini na...Hawa watu wa namna hii ndio waliojaa serikalini nakwambia, watu wa kujikomba komba kwa wakubwa...watu wa NDIO MZEEE..

Honestly huwa wananikera sana!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-71133892378195885132008-02-04T08:36:00.000+03:002008-02-04T08:36:00.000+03:00This guy, like to promote himself, like to b' prai...This guy, like to promote himself, like to b' praised, etc.
This is not the right placeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-26166878908391690392008-02-04T04:31:00.000+03:002008-02-04T04:31:00.000+03:00mwacheni mkereketwa wa watu jamaniYaani kanichekes...mwacheni mkereketwa wa watu jamani

Yaani kanichekesha sana...kaandika vitu vingi kama geek vile lakini hajakaa kigeekgeek huyu...hawa ni wale....too much know...humwoni ni mwenyekiti wa international student...ha ha ha ha ha....

Atakua naye mbunge sooon

Kweli mshikaji hotuba yako refu saaana

kaka michuzi kazi unayo...naona unapokeaga vingi sana tu...Sasa huo mda wa kusoma hiyo hotuba kabla hujaibandika huko....mhhhh...bora tukulipe siku hizi au tukutafutie assistantAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-83792833464631513582008-02-04T03:22:00.000+03:002008-02-04T03:22:00.000+03:00Yakhe hebu acha kupka siagi na kulamba viatu mpaka...Yakhe hebu acha kupka siagi na kulamba viatu mpaka rangi idondoke!!!ukitaka kurudi nyumbani njoo tu na sie tutakufikisha ikulu kumsalimia mama Ridhuani!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-51968290263731119022008-02-04T00:55:00.000+03:002008-02-04T00:55:00.000+03:00bro michu naomba kuuliza..hivi rais wetu JK anasom...bro michu naomba kuuliza..hivi rais wetu JK anasoma hii blog yako kweli? ashakum si matusi ila nafikiri hizo pongezi hapa sio mahali pake. kwanini mdau asingepost kwenye blog ya serikali au aandike barua rasmi kwa rais na aipeleke ubalozini huko India. ameniboa..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-21357413459940246562008-02-04T00:26:00.000+03:002008-02-04T00:26:00.000+03:00We zoba kweli, unazani umaarufu wa kujulikana unak...We zoba kweli, unazani umaarufu wa kujulikana unakuja kwa kuandika lihotuba lilefu hivi? au ndiyo staili yako ya kuomba kazi ccm na hilo shati lako la njano na kijani lililo kuvaa.
hakika huko India kumekuchosha.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-84980630418755452052008-02-03T23:52:00.000+03:002008-02-03T23:52:00.000+03:00Sawa mzee kwa pongezi zako kwa Muheshimiwa.KidumuSawa mzee kwa pongezi zako kwa Muheshimiwa.KidumuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-28433697311437864682008-02-03T22:43:00.000+03:002008-02-03T22:43:00.000+03:00Sawa mkuu tumekupata....Sawa mkuu tumekupata....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-90604458357377573092008-02-03T22:39:00.000+03:002008-02-03T22:39:00.000+03:00Mi naona unanizingua tu na lihotuba lako lisilo na...Mi naona unanizingua tu na lihotuba lako lisilo na mwanzo wala mwisho.... Kama ulitaka kujulikana ungetuma tu picha na salam zako siyo kutuandikia hotuba na kuorodhesha cheo chako hapa....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-20648333347656444712008-02-03T22:31:00.000+03:002008-02-03T22:31:00.000+03:00oooh jamaa analazimisha tabasamu lakini hakika kac...oooh jamaa analazimisha tabasamu lakini hakika kachoka na maisha ya india, maana yake hata shati lina muelemea!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-16511139.post-7920971124800284562008-02-03T21:39:00.000+03:002008-02-03T21:39:00.000+03:00Bwana mdogo, this is not the best way ya kujiwekea...Bwana mdogo, this is not the best way ya kujiwekea mambo safi.. Mpaka watoto woote wa wateule watakapopata ulaji ndio laaabda na wewe utaweza kuwekwa kwenye picha. Tafuta another alternative dogoAnonymousnoreply@blogger.com