
Jamani nimejiunga kwenye gari hili la blogu. Tusionane noma. Leteni vituz. Anayetaka masnepu ya bongo aseme tu atapata. Muulizeni Ndesanjo ambaye ananifungulia hii blogu tukiwa pamoja Helsinki kwenye mkutano huu hapa. Picha hii kapiga dada mmoja hivi...sijui anaitwa nani. Picha hii ni kwenye tafrija fupi ya kunipokea ndani ya jengo la Finlandia Hall.
Mapicha kibao kaka tutapata nimefurahi sana "kifaa" kama wewe kuingia katika ulimwengu huu wa blogu.Ndesanjo kafanya kazi kubwa kukuambukiza haka "kaugonjwa" ka kublogu Karibu sana!.Tunategemea mambo mengi toka kwako.
ReplyDeleteMichuzi, huu ugonjwa naona umekuingia kisawasawa. Tatizo ni kuwa hauna dawa!
ReplyDeleteKaribu Bwana Michuzi ukongwe wako wako wa picha ni muhimu kabisa katika ulimwengu huu wa blogu
ReplyDeleteKaribu Michuzi.
ReplyDeleteTofauti na wanablogu wengi wewe unaishi ndani ya bongo, hivyo vitu vyako vitakua toka jikoni-- mambo yako yatakuwa "live" lakini sio live8.
ReplyDeleteHongera kwa kuingia.
Mloyi.
Jamani nimeipitia site hii ki-bahati bahati tu.
ReplyDeleteWhat is all about?
Please Michuzi tell me...it seems you are a famous person here
MICHUZI LEO NIMEONA NIJE SIKU YA UZINDUZI KUKUPA HONGERA KWA KUTIMIZA MIAKA MIWILI.
ReplyDeleteHONGERA SANA KWA KAZI NZURI UNAYOIFANYA.
asante kwa kuniskiliza - michuzi
ReplyDeletehaaa,michuzi kumbe unavaaga sutiiiii,hongera baba imekukaa balaaaaaaa
ReplyDeletehongera ankal uko juu kama mbingu,mungu akuoongezeeee maujuzi zaidi tchao.
ReplyDeleteHongera kwa kufikisha miaka 5.
ReplyDeleteHONGERA KWA MIAKA MITANO YA BARAZA MJOMBA:-) ALL THE BEST
ReplyDeleteankal,
ReplyDeletekwanza habari za kazi maana naona sasa mna kazi kubwa huko kwetu ,sisi walinda amani huku Darfur sudan tunawatakia idd mubarak na kampeni njema pia naipongeza blog ya jamii kwa kutimiza miaka mitano maana tunapata habari nyingi kupitia Glob hii ya Jamii sisi tulioko huku Sudan
Uncle Hongera sana kwa kutimiza miaka 5 .....Mungu akuzidishie zaidi...Kwa kweli umetuokoa sana sisi watanzania kwa hii blog ...umetuelimisha, kutuhabarisha vitu vingi vya duniani,...keep it mna..
ReplyDeleteRodrick Mwambene---Mdau
Toka tarehe 8/9/2005 mpaka 8/9/2011 ni Miaka sita sasa! Big up Michuzi!
ReplyDeleteduuuuuuu kitambo
ReplyDelete