Mch. Christopher Mtikila akihutubia mkutano wa kampeni Jangwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndivyo ilivyo. Daima msema kweli hupuuzwa, na yule mwenye maneno mengi ya uongo hupandishwa. Mtikila hana watu kwa sababu watu wanataka kusikiliza yale wanayotaka kuyasikia, na si kusikia ukweli.

    ReplyDelete
  2. Hakuna cha msema kweli wala nini. Watanzania siyo wajinga. Wanajua kutenganua kati ya Msema ovyo mwenye jazba na mtu mwenye hoja nzito.

    ReplyDelete
  3. @Semkae.
    Hebu fungua usome http://bwaya.blogspot.com/2005/11/vijana-wengi-hawana-elimu-ya-uraia.html ...halafu ndio tuendelee na mjadala.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...